Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Kuna tetesi kuwa dada huyu alikuwa close sana na Ali Kiba kipindi flani kabla hata Diamond hajatoka hadi wakafanya kolabo ya nyimbo inayoitwa Wajua Nakupenda
Queen Darlin akihojiwa na kipindi cha E newz amedai Ali Kiba hajawahi kupiga mzigo kwake japokuwa walikuwa karibu ila yeye ni kama ndugu yake kwa kuwa wapo karibu sana