Ali Kiba kurekodi video Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ali Kiba kurekodi video Marekani

Discussion in 'Celebrities Forum' started by MziziMkavu, Jun 8, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Ali Kiba kurekodi video Marekani
  [​IMG]
  Ali Kiba Monday, June 08, 2009 12:46 PM
  MSANII wa Bongo Fleva, Ali Kiba anatarajiwa kufanya video mbili za nyimbo zake huko Marekani. Akizungumza mtandao huu mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam, Ali Kiba alisema ameamua kufanya video zake Marekani ili kuzipa ubora unaotakiwa kimataifa.

  Msanii huyo alisema yuko katika maandalizi ya mwishomwisho kuelekea nchini humo na picha za video zinatarajia kuchukuliwa katika miji ya Los Angeles na Seattle.

  “Nina nyimbo mbili ambazo nitazifanyia video Marekani, Tell Me Why nitaurekodi Los Angeles na 1st Single nitaifanyia Seattle,” alisema.

  Ali Kiba ambaye alipata kutamba na nyimbo mbili za Cinderella na Mackmuga, alisema vibao vyake viwili vya Los Angeles na 1st Single vitakuwamo katika albamu yake mpya ya Msiniseme
   
 2. Mae

  Mae Member

  #2
  Jun 8, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera dogo, mambo yako si kitoto
   
 3. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haha eti kuzipa ubora wa kimataifa, kinachoipa video yako ubora wa kimataifa ni bajeti.

  Mods tafadhali peleka hii kwenye entertainment. Ahsante.
   
 4. magnifico

  magnifico JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2017
  Joined: Jan 14, 2013
  Messages: 2,893
  Likes Received: 2,151
  Trophy Points: 280
  #Wakati ule muziki hauna timu uchwara.
   
 5. S

  Sodagani Member

  #5
  Jan 1, 2017
  Joined: Dec 4, 2016
  Messages: 8
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Duh umefufua uzi wz 2009!!!
  Ngoja wenye timu zao waje kuzungumzia hizi ahadi na mikakati aliyosema.
   
 6. Ngushi

  Ngushi JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2017
  Joined: Jul 8, 2016
  Messages: 5,873
  Likes Received: 10,568
  Trophy Points: 280
  Hizo video mbona hazijawahi kuonekana au amezitunza ndani?
   
 7. P

  PAGAN JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2017
  Joined: Aug 19, 2014
  Messages: 6,092
  Likes Received: 6,642
  Trophy Points: 280
  Man Fongo atasubiri sana. Sorry, I mean Diamond platmumz
   
 8. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2017
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 6,273
  Likes Received: 4,280
  Trophy Points: 280
  King Kiba....

  Enzi hizi Dimond anaosha vyombo studio kwa bob Junio
   
 9. kedrick

  kedrick JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2017
  Joined: Apr 25, 2015
  Messages: 3,699
  Likes Received: 2,224
  Trophy Points: 280
  izo video zilitoka na vp zilikuwa nzuri mr coming soon uongo alianza zamani
   
 10. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2017
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 6,273
  Likes Received: 4,280
  Trophy Points: 280
  Yeah zilitoka.

  Ila kwa majina tofauti Hiyo moja iliitwa Mali yangu na nyingine Hadithi.
   
 11. danya

  danya JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2017
  Joined: Sep 6, 2014
  Messages: 3,012
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  Chekutua yenyewe ilikuwa Marekani
   
 12. magnifico

  magnifico JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2017
  Joined: Jan 14, 2013
  Messages: 2,893
  Likes Received: 2,151
  Trophy Points: 280
  hahahah ni katika pitapita za hapa na pale.
   
 13. kisana kiki

  kisana kiki Senior Member

  #13
  Jan 2, 2017
  Joined: Dec 24, 2016
  Messages: 107
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Yoooooooo!!! Papreeeeee!!!
   
 14. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2017
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Hiyo 2009 diamond ndio alitoa single yake ya kwanza eeeeh
   
 15. c

  chige JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2017
  Joined: Jul 11, 2016
  Messages: 5,900
  Likes Received: 10,019
  Trophy Points: 280
  Hivi huoni aibu kwamba, pamoja na huyo mwingine kusema alikuwa anaosha vyombo lakini ndie ambae Kiba ana-struggle kumfikia? Hivi huoni aibu kuona kwamba, ingawaje huyo mwingine alikuwa anaosha vyombo lakini nyayo zake hivi sasa ndio zinafuatwa?! Hivi huoni aibu kusema kwamba enzi hizo Diamond alikuwa muosha vyombo wakati statistics zinaonesha yeye ndie yupo juu kwa kila idara?!

  Ungejisikiaje umeripoti Form I January halafu mwingine anaripoti April lakini kwenye terminal exam anakuacha kwenye kila somo huku wewe ukibaki kujivunia "...lakini mimi ndie mwenye mwandiko mzuri kuliko yeye!!!!"
   
 16. b

  bestmale JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2017
  Joined: Dec 6, 2015
  Messages: 1,136
  Likes Received: 491
  Trophy Points: 180
  Kiba kilaaaza tu muongoo sanaaa ndo manaaa atazidi kuitafuta bifu na Mondi ili apate
   
 17. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2017
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 6,273
  Likes Received: 4,280
  Trophy Points: 280
  Mbona povu tena?!

  Kwa hiyo hakuwa anaosha vyombo Kwa Studio Kwa bob Junior?!
   
 18. c

  chige JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2017
  Joined: Jul 11, 2016
  Messages: 5,900
  Likes Received: 10,019
  Trophy Points: 280
  Unajua maana ya povu? Au angalau maana ya msemo wa "povu?"
   
 19. jew boy

  jew boy Member

  #19
  Jan 2, 2017
  Joined: Dec 29, 2016
  Messages: 54
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 25
  Bado ana shoot au
   
 20. magnifico

  magnifico JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2017
  Joined: Jan 14, 2013
  Messages: 2,893
  Likes Received: 2,151
  Trophy Points: 280
  Kuna yule bwana aliwahi kusema "Shoot video, usikubali kurekodiwa".
   
Loading...