Recent content by Soda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    hata akipinga Kikwete atakuwa raisi tu. aende Vatcan akapinge
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kwa nini Zitto alijitoa kugombea Uenyekiti Chadema?

    hakuna majibu? Ni ukabila umezidi chadema.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Pinda amechukua rushwa? PCCB waende kumhoji!

    Uzushi mtupu jamaa kashindwa kiharali kabisa. Darasa la saba sio sababu
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kwa nini Zitto alijitoa kugombea Uenyekiti Chadema?

    Wana jamii nipeni jibu
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Wananchi wa Rorya wanahitaji kuamshwa...

    Shule nini tunataka maendeleo Mpeleke Mbowe shule
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mwanza hali si shwari

    Huu uzushi kabisa Mwanza Safi nimepiga simu sasa hivi acheni uzushi
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Inasemekana Wenje alikataa mil 900 za kumwachia jimbo Masha!

    Millioni 800 nyingi sana na gari Huu ni upuuzi kama huna mada kaa kimya usidanganye watu acha upuuzi
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Inasemekana Wenje alikataa mil 900 za kumwachia jimbo Masha!

    Uzushi huu
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mikoa ya Kuamshwa 2015

    Chadema ni chama cha vurugu. Nawashauli jiungeni na chetu cha CUF kimejaa heshima
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 NEC ni taasisi mojawapo kama uvccm na uwt ndani ya CCM, hili limewekwa hadharani

    Chadema lazima kushinda au haki mnayoijua ni mpaka Chadema ishinde Pia ni haki CCM kushinda sio lazima Chadema Haki ni pande zote
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Zitto ajeruhiwa na Polisi, apelekwa Hospitali

    Komagi unataka kunijua
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Ngome ya chadema rukwa imechakachuliwa yote...

    CCM imeshinda kuna wakubwa CCM walitaka Sumbawanga mjini ichukuliwe na Chadema imeshindikana. CCM iko juu:smile:
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Zitto ajeruhiwa na Polisi, apelekwa Hospitali

    Ametaka mwenyewe yeye nani kama analeta vurugu polisi wanajua kazi yao. namshauri asitetea mtu alie shindwa wa nini? :hippie:
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr. SLAA USIKUBALI, HAIWEZEKANI UMATI WOTE ULE UKUSALITI!

    Kuwa na umati mkubwa sio kuwa wote watakupigia,wengine hawajawahi kuona helicopta jamani, Hata chizi akivua nguo watu huwa wengi. Slaa bado sana hamuwezi Kikwete Kikwete mtu wa watu Hongera sana Kikwete
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Majimbo yenye utata mpaka sasa

    Ubungo,Hai,Maswa,Ilemela,Kawe,Moshi Mjini,Mbeya Mjini,Rombo,Meatu Wamechakachua sana
Back
Top Bottom