Ngome ya chadema rukwa imechakachuliwa yote... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngome ya chadema rukwa imechakachuliwa yote...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Paddy, Nov 2, 2010.

 1. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sumbawanga mjini, nkasi kaskazini na nkasi kusini kote ccm imepita kwa tofauti ya kura 1000. Hakuna marefu yasiyokua na ncha, CCM MUST DIE!
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa walishaonyesha dalili za kucheza rafu tangu kwenye chaguzi zao za ndani, wao kwa wao walinyimana haki!
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Mbona tulisikia Chadema imeshinda Sumbawanga Mjini............................What is happening now..................
   
 4. S

  Soda Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM imeshinda kuna wakubwa CCM walitaka Sumbawanga mjini ichukuliwe na Chadema imeshindikana.
  CCM iko juu:smile:
   
Loading...