NEC ni taasisi mojawapo kama uvccm na uwt ndani ya CCM, hili limewekwa hadharani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC ni taasisi mojawapo kama uvccm na uwt ndani ya CCM, hili limewekwa hadharani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by harrysonful, Nov 2, 2010.

 1. h

  harrysonful Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pengine iwekwe hadharani kuwa tume ya uchaguzi ni moja ya taasisi zilizowekwa kwa ajili ya kuibeba ccm. Hii imewekwa wazi na mmoja wa wapiganaji wetu ambae amesema wazi daima ccm imejiwekea utaratibu wa kuwa na watetezi ktk kila secta mfano.bot,mahakama,nec na sekta nyingine na inafanya kazi ikishirikiana na uvccm na uwt kama sehemu ya taasisi zake ktk kuhakikisha inabaki madarakani..hii inajionesha huko shinynga kwa kuiba ushindi wa chadema hadharani kwa kumtangaza bwana shelembi kuwa mbunge kwa chadema na baada ya kuingia kushangilia akatangazwa bwana masele kuwa mshindi tena,hali hiyo iko kigoma mjini. Sumbawanga na songea..nec inaendelea nakubadiilisha matokeo ya uraisi kama ilivoagizwa na ccm baada ya watanzania kuelekeza maskio yao ktk kura za ubunge..

  Uvccm
  uwt
  nec
  will keep ccm alive
   
 2. S

  Soda Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema lazima kushinda
  au haki mnayoijua ni mpaka Chadema ishinde
  Pia ni haki CCM kushinda sio lazima Chadema
  Haki ni pande zote
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  jamani wafanye nini nec hawako huru kabisa. Wamechaguliwa na serikali ya ccm wamtumikie nani?
   
Loading...