Huu uzi nimeupenda sana. Kuna namna umenipa kitu kipya ambacho sikuwahi kukitilia maanani.
Kwenye familia zenye mchanganyiko wa watoto (Waliozaliwa either na baba mmoja ila mama tofauti au vice versa), huwa kuna utofauti mkubwa sana wa tabia. Vividly, ni utofauti wa uwezo wa darasani. Katika...
Tatizo letu wabongo ni usela gogo. Watu watajimilikisha hizo furniture na wengine kuziharibu kabisa.
Hizo huduma ni nzuri lakini risk ni kubwa kutokana na level ya ustaarabu tuliyonayo
Sent from my MI 8 SE using JamiiForums mobile app
Hahaha, mediocrity at its highest level. Mimi ninachoomba ni hizo chats zao tu ulizosema unataka kuanika hapa.
Kama unajua hulipwi, kilichofanya ulete huu uzi ni nini? Na kilichofanya utishie kuanika chats wakati unajua huna ni nini?
Anika chats zao jombaa, maana ninachokiona ulikuwa unatishia kujamba wakati unaumwa tumbo la kihara[emoji23][emoji23][emoji23]
We can see through your lies man.
Ninauza mchele wa kahawia (brown rice), kwa anaehitaji anaweza nicheck PM tuka-arrange namna ya kukufikishia mzigo.
Kwanini mchele wa kahawia (brown rice)?
- Una madini zaidi ya manganese, magnesium na chuma ukilinganisha na mchele mweupe
- Una punguza uwezekano wa kupata maradhi ya kisukari
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.