Hivi kwanini Tundaman anamchukia sana Diamond Platnumz?

Hamna kabila ambao hawana chuki kama wazaramo na wakwere hawana muda na watu wao ni kujiachia ngoma 24 7 shangwe
 
We jamaa noma hadi unajua moyo wa MTU unawaza nini eti wanamkubali kimoyo moyo!

Hizo sababu zinafanya umchukie tunda ndio hizo hizo zimefanya tunda amchukie mondi
 
Dogo naona key hapo ni rich mavoko, huko wasafi jamaa anaependwa sana na inawauma, kubalini ni mkali hata nyimbo zake ni kali, binafsi nnamjua sana rich na nnajua ni namna gani jamaa wali hustle kumpata rich, dogo punguza unafiki na hamuwezi kuziba nyota yake washamba washamba wa mikoani
 
Dah... mleta mada una uwezo mdogo wa kuchambua mambo...
Umeandika maneno kibaaaaaaao nikajua utaweka sababu zinazokufanya useme anamchukia.... lakin hamna ulichoandika.. upupu tuu.
hata mimi nilitegemea kuliona hilo..aisee halafu hii mada yake inaonyesha wazi kuwa nimtu wanamna gani..!? naimeegemea upande mmoja pasipo kuelezea mapungufu ya huyo anayemsema kuwa anachukiwa..ipi sababu inayomfnya achukiwe na hao..
tuongee vtongeavyo but niukweli uliwazi kuwa sisi tupo nje ya industry so hatuwezi kuwa twamjua msanii zaidi kuliko vile ambavyo anafahamika na wenzio walio pamoja ktk hiyo industry ..hatujui wnafanyiana nini huko..nahata inapotokea tukayajua basi huwa ninusu habari
 
Kuna wahuni walimpiga Yesu mijeledi wakaona haitoshi wakamsogeza pale fuvu la kichwa wakamuweka msalabani mpaka kifo. Kuna wanadamu wapo wanapumua fresh ila wanasema Mungu hayupo ni nadharia tu sasa itakua Diamond apendwe tu na kila mtu . Kuna wehu mashimoni huko hawajui hata kama kuna kiumbe kinaitwa Diamond, Kiba wala Tundaman embu acheni vilio vya kike basi.

Kuna mwamba alikua anashinda hapa JF kumtetea Diamond miaka ya nyuma anaitwa H.O.D, siku hizi ni camera man wa Diamond ana jina fulani lenye ukakasi wa jinsia nimelisahau alikomaa sana humu ila Alhamdullilah leo katoboa. Naona sasa hivi mmezuka wapya nawashauri kazeni kamba ipo siku tutawaona kama yule jamaa.
 
Back
Top Bottom