Nataman hili suala lipite harak, Tundu lissu arudi... Mamb mengine yaendelee.. Ccm watajijua wenyew na chama chao... Taifa lina Changamoto sana hili ni basi tu tumeamua kuweka focus kweny vtu vidogo (clip za kina nape)
Recently nimekuw najiuliza maswali jinsi shilingi yetu inavoshuka Thamani huku
Huku shilingi ya Kenya Ukiendelea kuimarika...
Well mimi sio mchumi ndo sababu sielewi how come Nchi ambayo ina kesi za rushwa shilingi yake inakua imara... Mean while Tz tumejitahid now kubana matumiz na kuzuia...
Nakumbka mama Salma kikwete alitanua mpka akawa anapewa report ya MKOA na waheshimiwa wakuu wa mikoa.
Ziara za ndani na misafara mirefu ya First Lady SALMA kikwete ilitaradadi,,
ma event White House Usiseme...
Ziara za nje mpka akaenda kwa King muswati kushuhudia akichagua mke...
Zaid ya watu 24,000/= Jana walikesha kumfatilia Diamond plutnumz.
Hii sio kawaida, hakuna mtu bongo
Hii alishawah kwenda YouTube live na akatizamwa na watu zaid ya elfu kumi.
Ifike wakati media zeny bifu na Huy dogo wakubali tu kwamb dogo moto wake hauzimik na kukubalika kwake na wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.