Najaribu kufikiria nje ya boksi kuwa inawezekana kuvuja kwa audio clips ni mipango ya Usalama wa Taifa TISS kuliokoa taifa iliyopangwa kwa akili sana bila kuleta madhara makubwa kwa nchi na kwa wenye mamlaka.
Mwanzo nilidhani ni mpango wa kukilinda chama.
Baada ya clips kuvuja, walio ndani ya chama wameanza kutambuana na kuimarisha makundi yao, waliokuwa wanatafuta platform ya kusemea wameanza kuchukua nafasi zao, waliokuwa na hamu ya kuwatukana wastaafu wamechukulia hiyo advantage, vile vile chama kama chama kimepata sababu ya kuwaadhibu walioonekana kukipinga, hapa sioni namna yeyote ya kukilinda chama.
Kama ni Usalama wa Taifa au kikundi cha watu (kina Musiba) ndio waliopanga kama si makusudi, basi wali-underestimate madhara yake kwa upande wa chama na kama walidhani wanamsaidia Rais kama Musiba anavyodai basi walikosea sana maana clips zinazidi kumchonganisha rais, chama na wastaafu.
Lakini kwa upande mwingine ninavyoona mimi, mgawanyiko huu na tafrani hii inakwenda kuondoa na kupunguza ile nguvu ya chama kupoka na kuhodhi madaraka ya rais, Rais abaki na madaraka yake kamili na chama kijisimamie kama chama bila kutegemea kofia ya urais kukilinda. Kama ni TISS wamebuni hili basi hongera sana.
I stand to be corrected.