Njoo tujifunze code challenge kama JS, Java, PHP, HTML, CSS, C#

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
739
500
Hii mada kila mtu ataandika code yake hapa ili kuonyesha reaction yoyote kwenye app, au web development mimi naanza na jinsi ya kuweka slide show kwenye website, application kwa kutumia Javascript.

<!doctype html>
<html>
<head>
<title>slide show</title>
</head>
<body>

<div class="slider">
<img class="mySlides" src="images/gallery-1.jpg" style="width:100%">

<img class="mySlides" src="images/gallery-2.jpg"style="width:100%">
<img class="mySlides" src="images/gallery-3.jpg"style="width:100%">
</div>

<script>

var myIndex = 0;
carousel();

function carousel() {
var i;
var x = document.getElementsByClassName("mySlides");
for (i = 0; i < x.length; i++) {
x.style.display = "none";
}
myIndex++;
if (myIndex > x.length) {myIndex = 1}
x[myIndex-1].style.display = "block";
setTimeout(carousel, 3000);
}

Hapa JS inafanyaje kazi mpaka picha zainanz aku ji slide
(1) JS ni backend programming na pia inaweza kufanya front end pia. Sasa hapa kuna kitu kinaitwa Document object Model(DOM). Hii kazi yake inaselect id kutoka kwenye code za html by className,byId, e.tc alafu ndo ina print out kwenye html ndo inafanya kazi front end. Na pia hapo nimetumia kitu kimoja kinaitwa Comparison logical operator =<
na function

</script>
</body>
</html>

Karibuni ma programmer ukiandika code zako hapa unaelezea kidogo zinafanyeje kazi ili kwa ambae hajui alewe.
Karibuni
 

so law

Senior Member
Dec 24, 2018
102
500
Hii mada kila mtu ataandika code yake hapa ili kuonyesha reaction yoyote kwenye app,au web development mimi naanza na jinsi ya kuweka slide show kwenye website,application kwa kutumia javascript
doctype html>gallery-1.jpg


gallery-2.jpg

gallery-3.jpgkaribuni ma programmaer ukiandika code zako hapa unaelezea kidogo zinafanyeje kazi ili kwa ambae hajui alewe Karibuni[/I]
 

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,614
2,000
Itapendeza ukiandika code zako mwenyewe.
Uzuri wake wapo watu wa kukosoa ili ujifunze zaidi.
 

Julius Kanyehu

New Member
Nov 26, 2019
4
20
Posti yangu ya kwanza... hii ni hatua nzuri ya kupata feedback kwenye codes anazodevelop mtu. In fact ni njia nzuri ya kujifunza pia.
 

henrygees

JF-Expert Member
Sep 8, 2010
204
250
programming ni dili sana sasa hv bongo aisee
Nipe mchongo... Asee mm niko na python & R for data analysis & visualization. Natumia anaconda distribution kwenye activities zangu. But still learning coz this thing is massive.... Asee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom