Yu wapi mama Janeth Magufuli?

Yu wapi mama Janeth Magufuli?

lifestyle ya huyu mama ni ya kuigwa,binafsi napendezwa sana na mienendo yake,nafasi aliyonayo (u first lady) ingekuwa kwa mwanamke asiye na akili na mpenda sifa makongamano,warsha visherehe na kelele zingekuwa nyingi kuliko debe tupu ili tu kuretain umaarufu
 
Nakumbka mama Salma kikwete alitanua mpka akawa anapewa report ya MKOA na waheshimiwa wakuu wa mikoa.

Ziara za ndani na misafara mirefu ya First Lady SALMA kikwete ilitaradadi,,

ma event White House Usiseme...

Ziara za nje mpka akaenda kwa King muswati kushuhudia akichagua mke

Acheni mama janeth atulie mama yetu Kikwete keshafany mengi San Kama First Lady.
Ni takribani wiki moja tangu Rais Magufuli atue Chato kwa mapumziko. Katika kipindi hiko hatujamuona mama Janeth. Rais Kenyatta ameenda Chato, mama Janeth hajaonekana. Leo tumezindua mbuga, mama Janeth hajaonekana. Je mama Janeth ni yu wapi?
 
Kwa ufupi kuna mkutano wa ma FIRST LADIES wa Africa hata Magret Kenyatta yupo huko....nadhani wapo Niamey
 
alafu ukishajua alipo wacha umbea wewe tafutia watoto chakula njia ya msalani isiote majani
 
Yule ni first lady mku raia wana haki ya kujua yuko wapi na kwa nini aonekani,au unataka tuongozwe na raisi muhuni asie na mke (kama labda wametengana) lazima tujue.
Rais Moi wa Kenya
Kwa ufupi kuna mkutano wa ma FIRST LADIES wa Africa hata Magret Kenyatta yupo huko....nadhani wapo Niamey
Rais mstaafu Moi wa Kenya aliporwa mke na tajiri mmoja Mkikuyu na kumwacha Rais aishi peke take Ikulu. Wakenya wakawa wanamkejeli kuwa anashindwa kutawala nyumba yake ataweza
Kwa ufupi kuna mkutano wa ma FIRST LADIES wa Africa hata Magret Kenyatta yupo huko....nadhani wapo Niamey
 
Ni takribani wiki moja tangu Rais Magufuli atue Chato kwa mapumziko. Katika kipindi hiko hatujamuona mama Janeth. Rais Kenyatta ameenda Chato, mama Janeth hajaonekana. Leo tumezindua mbuga, mama Janeth hajaonekana. Je mama Janeth ni yu wapi?
Jikoni anampikia rais wako
 
Sometimes Muache Umbea bhana..hii ni maisha binafsi ya mtu...uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi manufaa yoyote

Wakati Dr. Slaa anaitwa mzinzi akiwa cdm hizi busara zako uliziacha wapi?
 
Anauguza mama mkwe wake! Unadhani ni hawa wa do.com, wanaochukulia mama mkwe ni mzigo! Ulimuona yule mama pamoja na kuugua muda mrefu,alivyoonekana nadhifu wakati wa sala na Uhuru Kenyatta. Kuzaa kulioje!

Huyo bibi hata kama mama Janet asingeeenda hospitali kukaa naye hospitali, bado kuna kundi kubwa linalojipendekeza kwa jiwe ili lipate vyeo lingejitolea kwenda kukaa na huyo bibi.
 
Back
Top Bottom