Recent content by snps

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Huu upuuzi kwa kweli.Wajinga tuu ndio wanafaa kukubali hii taarifa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Pole sana ndugu. Ushauri wangu ni kwamba, kama wewe na familia yako ni waumini wa dini fulani, nakusihi fanyeni maombi juu ya hilo tatizo Mungu aliye muumba huyo mtoto bado hajamaliza kumuumba kwa hiyo mkumbusheni amalizie uumbaji na mtoto atakuwa salama. Humu utapewa ushauri mwingi saana...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nilichokigundua kuhusu maandamano yenye kauli mbiu ya (Tanzania Revolution)

    Fikira za aina yako ndizo zinatufanya tuendelee kutumika kama midoli. We need to change.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Jehanamu ni habari za kutungwa

    Ni vema kujibu hoja kwa hoja sio kukashifu. Anaesema Jehanam ipo aweke reference yake hapa na sio kurukia kusema kafiri
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    Labda kama kuna mengine, bado mie sijaona shida, wangempa muda kuona kama atashindwa kulipa, nadhani transanction ni process it may take some time. Dr might be serious in this....
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

    Reasoning yako nyepesi saana. Hayo maswali yako ulitaka watujibu wa TZ? Nchi zao zina majibu ya maswali hayo! Unataka Nani afanye uchunguzi huru unayeamini anaweza ili atumiwe huyo?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa booking ya Ndege

    Flight nafuu ni bora ukaanzia Dar au Nairobi, maana za kuanzia KIA ina maana lazima uende either DAR au NRB. KQ kwa sasa ndio nafuu zaidi. Lakini pia kuna fastjet kuanzia Dar Kwenda Jburg. Just google Kenya airways .. the itakupa mahali pa kuchagua sayafari kwa maana ya siku na pia itakupa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

    Tatizo siku hizi ni ngumu saaaana kupata marafiki wapya kwasababu ya teknologia. zamani watu walikuwa wanapata wachumba wakiwa safarini, mfano wamepanda gari moja au wapo kituoni kusubiri usafiri. lakini siku hizi kila mtu yupo bize na smartfone yake mda wooote! utaanzaje kuomsemesha? we cheki...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Charles Mwijage awasimamisha kazi Mkurugenzi wa TBS pamoja na Meneja wa Fedha

    They are not compitent. Ubabaishaji mwingi saaana. wanavifaa lakini hawajui kuvitumia.. wakipita wanasiasa wanawa danganya tuuu na kwakuwa hawajui kitu wanadhani wanafanya vzr. Kila kitu kibadilishwe.. waliobaki pia wote wapo poluted.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Alen Kijazi, Dkt Agness Kijazi na sasa Eng. John Kijazi, Dah!!

    hakuna shida, wanasitahiri.... waandae wanao pia waje kula matunda ya nchi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Alen Kijazi, Dkt Agness Kijazi na sasa Eng. John Kijazi, Dah!!

    hongera kwao na kwa mzazi wao.....
  12. S

    JamiiForums Tanzania DAR EXPRESS inanyanyasa wateja wake

    umesema vema: Kusanya haya malalamiko ya abiria tofauti na kisha chambua kama yana hoja. wengi hatunaga muda kufatilia, zaidi tunaamua kuachana na basi husika. Bila shaka wewe unashea katika hili kampuni.. wapeni customer care training wafanyakazi wenu, ni hopeless kabisa. Huoni kwa pale...
  13. S

    JamiiForums Tanzania DAR EXPRESS inanyanyasa wateja wake

    Kuna wakati nilisafiri toka Arusha kuja Dar nilishangaa sana ukifika ofisi yao pale Moshi kwend Msalani kuna jamaa kama zezeta hivi anadaui malipo ya tsh 200?/ Nilibishana nae maana pale ni ofisi yao na mimi ni mteja wao inakuwaje nidaiwe kwenda msalani?? kwa kweli hawa ni KEROOOOOOOO! kampuni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tuyaone mashirika yanayopaswa kutumbuliwa, orodha kamili

    TBS (Tanzania Bureau of Standards) Kwa bahati mbaya watu wanaamini kuwa shirika hili wako makini kumbe ni uozo mtupu hakuna la maana. Vikao kila mara visivo na tija na kujigawaia seating allowance. Mfano kwenye kikao hata kama bosi anaeidhinisha kutoa allowance hajahudhuria BILA kuweka jina...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha mifupa MOI, Mazingira ya Fyeta/Theater ni hatari kwa wagonjwa na wahudumu

    Si vema kuishi kwa hisia. Lakini dhahiri na wewe ni kati ya wanaovumilia pale fyeta. Mwambieni muhusika. Magufuli ana simamia nchi nzima sio hapo kwenu tuu.
Back
Top Bottom