Tuyaone mashirika yanayopaswa kutumbuliwa, orodha kamili

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
511
769
Kazi ya kutumbua majipu imeendelea lakin kuna weng wanataman utumbuaji ufike kwenye sekta zilizowahi kuwakera na wana mifano halisi, mi naona mashirika na sekta hz ni za kuanza nazo,
NSSF,
TTCL,
TPB,
TEMESA,
TPA,
TRA,
POLISI USALAMA BARABARANI,
EWURA,
TANESCO,
TCRA,
OILCOM,
LAKE OIL,
UDA,
TPC,
TPDC,
BUNGE LA JAMHURI YA TZ,
TBC,
TFDA,
TFF,
AIR PORT,
KKKT,
HESLB,
TCU,
KIU,
IMTU,
VODACOM,
AIRTEL,
HALOTEL,
DECI(JIPU LA ZAMANI SANA),
UHAMIAJI,
Nawe Taja Nyingine Na Kero Ulowahi Kupata,
 
Taneaco,Dawasco,Uhamiaji,Ardhi,Mahakama,
Polisi(Trafiki),Halmashauri zote,Manispaa,Utalii,Misitu
 
yes kuna halmashauri nyingi sana, hvo kazi ya utumbuaji bado inaendelea maana mambo ni ovyo yaliyo uko,
 
AnBen
TanPower
Kiwila Coal Mine
IPTL a.k. Escrow
Simba Trust
Dalbitz
Wama Nakayama
Fursa Sawa
 
TBS (Tanzania Bureau of Standards) Kwa bahati mbaya watu wanaamini kuwa shirika hili wako makini kumbe ni uozo mtupu hakuna la maana. Vikao kila mara visivo na tija na kujigawaia seating allowance. Mfano kwenye kikao hata kama bosi anaeidhinisha kutoa allowance hajahudhuria BILA kuweka jina lake wengine hampati allowance.. wamulikwe hawa TBS!!

Ubabaishaji ni mwingi saana.
 
Kazi ya kutumbua majipu imeendelea lakin kuna weng wanataman utumbuaji ufike kwenye sekta zilizowahi kuwakera na wana mifano halisi, mi naona mashirika na sekta hz ni za kuanza nazo,
NSSF,
TTCL,
TPB,
TEMESA,
TPA,
TRA,
POLISI USALAMA BARABARANI,
EWURA,
TANESCO,
TCRA,
OILCOM,
LAKE OIL,
UDA,
TPC,
TPDC,
BUNGE LA JAMHURI YA TZ,
TBC,
TFDA,
TFF,
AIR PORT,
KKKT,
HESLB,
TCU,
KIU,
IMTU,
VODACOM,
AIRTEL,
HALOTEL,
DECI(JIPU LA ZAMANI SANA),
UHAMIAJI,
Nawe Taja Nyingine Na Kero Ulowahi Kupata,

NHIF
 
KKKT siyo shirika la serikali, ila kwa kuwa linapata baadh ya huduma za serikali kama ulinzi, usalama na kibali, basi liendane na matakwa ya nchi, lisikiuke misingi yake, lapaswa kuonywa
 
Nilishangaa eti watu wamejiunganishia umeme huko Mererani na wanautumia kuendeshea mitambo mgodini lakini TANESCO eti hawakuwa wanajua!!

Mwingine kawaunganishia watu mtaa halafu wanamlipa yeye siyo TANESCO halafu TANESCO wenyewe hawajui.

Hivi TANESCO hawajui kiasi cha umeme wanaousambaza maeneo husika na pesa inayolipwa maeneo hayo?
 
Kazi ya kutumbua majipu imeendelea lakin kuna weng wanataman utumbuaji ufike kwenye sekta zilizowahi kuwakera na wana mifano halisi, mi naona mashirika na sekta hz ni za kuanza nazo,
NSSF,
TTCL,
TPB,
TEMESA,
TPA,
TRA,
POLISI USALAMA BARABARANI,
EWURA,
TANESCO,
TCRA,
OILCOM,
LAKE OIL,
UDA,
TPC,
TPDC,
BUNGE LA JAMHURI YA TZ,
TBC,
TFDA,
TFF,
AIR PORT,
KKKT,
HESLB,
TCU,
KIU,
IMTU,
VODACOM,
AIRTEL,
HALOTEL,
DECI(JIPU LA ZAMANI SANA),
UHAMIAJI,
Nawe Taja Nyingine Na Kero Ulowahi Kupata,
KKKT vipi tena imefanya nini?
 
To be sincere all sections are rotten. The JK system was so loose in such a way that everybody was rooting to his/ her full capacity. We need a new start.
 
Back
Top Bottom