DAR EXPRESS inanyanyasa wateja wake

DAR EXPRESS inanyanyasa wateja wake

Dawa ni kutafuta bus ambalo utahudumiwa vizuri nakumbuka niliwahi kuzinguliwa na wahudumu wa Summry niliamua kutopanda tena ma-bus ya kampuni yao na nilifanya ivyo.
 
swala la ni shida. unakuta umetoka mkoani umenunua viazi mfano kwa sh 5000. unapanda basi lako vizuri unaposhuka konda anakwambia ulipe tsh 5000. Serikali kweli iingilie kati .. kwanza hizo pesa haziendi kukatwa kodi zinaishia kwa wahudumu
 
A town naomba namba ya mgen
bado ana tkt awa mbwa nawataman sana wanauzi

Kama ni taarifa za gari ni T 122 CZB mgeni alikaa seat No. 26 . ticket ipo naitunza kwa ufuatiliaji zaidi
 
Kuna wakati nilisafiri toka Arusha kuja Dar nilishangaa sana ukifika ofisi yao pale Moshi kwend Msalani kuna jamaa kama zezeta hivi anadaui malipo ya tsh 200?/ Nilibishana nae maana pale ni ofisi yao na mimi ni mteja wao inakuwaje nidaiwe kwenda msalani?? kwa kweli hawa ni KEROOOOOOOO! kampuni ya zamani hivo inadai 200 kwa abiria wao kutumia choo cha ofisi yao??
 
Unawezaje kuhitimisha tuhuma kutokana na tukio moja tu?watanzania tunahitaji sana mabadiliko,hii ni tatzo mpaka kwa graduates kwenye desertation works zao... "darexpress inanyanyasa wateja wake". Variables zipi umetumia kujua hilo?unahoja ila poor presentation.
umesema vema: Kusanya haya malalamiko ya abiria tofauti na kisha chambua kama yana hoja. wengi hatunaga muda kufatilia, zaidi tunaamua kuachana na basi husika. Bila shaka wewe unashea katika hili kampuni.. wapeni customer care training wafanyakazi wenu, ni hopeless kabisa. Huoni kwa pale Korogwe hotel inazidi kudorora??
 
Kuna siku nimekwenda pale ofisi zao za Arusha kusafirisha bahasha ya A4 iliyokuwa na cheti nikamwomba dada aliyekuwa hapo hiyo bahasha asiikunje akaniambia hawezi kunihakikishia kuwa haitakunjwa basi nikamwambia kama ni hivyo anipe nikajaribu kutuma kwa kutumia kampuni nyingine. Yule dada wakati huo alikuwa kesha anza kuandika detail za mzigo akairusha ile bahasha chini kwa hasira akaniambia kwenda huko...dah nilitoka mnyonge sana na sijawahi tena kurudi Dar express hiyo ni kama miaka minne sasa imepita...nilijiapiza sitatumia huduma zao milele
 
Unawezaje kuhitimisha tuhuma kutokana na tukio moja tu?watanzania tunahitaji sana mabadiliko,hii ni tatzo mpaka kwa graduates kwenye desertation works zao... "darexpress inanyanyasa wateja wake". Variables zipi umetumia kujua hilo?unahoja ila poor presentation.
Kwa taarifa yako hii ni mara ya tatu kwa mimi na nimeshuhudia wakifanyiwa hivyo wengi ila inawezekana nao ni kama wewe wanasubiri itokee mara nyingi ndio walalamike hizo variables unazozitaka wewe ndio hufanya watu waseme tulimwambia wakati wameshakatika viungo.
 
Kuna siku nimekwenda pale ofisi zao za Arusha kusafirisha bahasha ya A4 iliyokuwa na cheti nikamwomba dada aliyekuwa hapo hiyo bahasha asiikunje akaniambia hawezi kunihakikishia kuwa haitakunjwa basi nikamwambia kama ni hivyo anipe nikajaribu kutuma kwa kutumia kampuni nyingine. Yule dada wakati huo alikuwa kesha anza kuandika detail za mzigo akairusha ile bahasha chini kwa hasira akaniambia kwenda huko...dah nilitoka mnyonge sana na sijawahi tena kurudi Dar express hiyo ni kama miaka minne sasa imepita...nilijiapiza sitatumia huduma zao milele
cc: bomouwa
 
Ungemtemea mate
 
Back
Top Bottom