Kubabake!
Kuna kipindi niliachwa nilijikuta naanza dozi ya juice ya bamia.. 😂
Mapenzi yamekaa kinafiki sana hapo unamkuta mwanangu Mshana Jr anabebika halafu huyu Binti Sayuni03 analia tu.
Hii hali ya kila sehemu kujadiri mpira ilifika muda nikachoka aisee!
Nyumbani.. Mpira.
Vijiweni.. Mpira.
Mitandaoni.. Mpira.
Mpaka nakosa pa kupumulia aisee!..
Ni kweli hii inauma mzee, hawa wamefanya makosa makubwa lakini kuwafukuza chuo ni makosa makubwa sana.
Kuhitilafiana hutokea mara kadhaa kwenye jamii na reaction za kuhitilafiana zinatofautiana kulingana na jinsia (Me na Ke)
Wanawake wanapohitilafiana huishia kuzalilishana, ndio maana wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.