Recent content by Sniper boy

  1. S

    Manyanya: Mtoto hajui Kusoma, Kuandika na Kuhesabu, Mwalimu Mkuu kazi huna

    Kwa hiyo we hapo unaona pana logic,ni mamb mangap ambayo serikal haijayfany kufanikisha ufanis kwenye idara ya elimu..hakuna madawati watoto wanakaa chini,chaki hakuna,madarasa machache,mwalimu hana makaz,mshahara kiduchu,mtoto anakuja na njaa (due to poverty),..boresha mambo hayo kwanza mbona...
  2. S

    Manyanya: Mtoto hajui Kusoma, Kuandika na Kuhesabu, Mwalimu Mkuu kazi huna

    WaTz bhana,kwa mfano mjini;darasa lina wanafunzi zaid ya mia mbil,wanafunzi wanakaa chini na mwalimu ni mmoja,unategemea ufanisi hapo kwel? hivi ule mpango wa kuw na darasa lisilozidi wanafunzi 45 ambalo mwalimu anaweza kulimudu umeishia kwenye makabrasha?.piga hesabu kidogo wanafunzi mia 200...
  3. S

    Kurudisha 25% ya mkopo HESLB

    hahahahah si achukue hyo pesa agawanye kwa 4
  4. S

    Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Ivi kwann actumbue na majpu ya ada za vyuo,hayo mamilioni ya tuition fees yanafany kaz gan,hawatoi meals and accomodation but only to attend class lectures u get charged millions of money,i thnk this could help to minimize conflcts btwn gvnment (Higher eductn stundnts' Loan board) na students...
  5. S

    Sms toka TCU

    ukingia kwenye hyo link ya apply for transfer mwshon mwa maelezo wanasem CAS ipo for 3rd Round but soon iyo tranfer window itakuw opened,hyo nimeiona kw wale walichaguliwa kweny first ila kwa sec.round (profile ya jamaa angu) bado hawajawawekea hyo TRANSFER link. Itafanyka in first in first...
  6. S

    Niulize chochote kuhusu DUCE

    n kwel kuw wanaokosa hostel ni weng zaid ya wanaopata,naomb kujua ukwel kuna jamaa kanambie watu kama mia 5 mwaka jana ndy waliopata hostel za ndan(duce),mabibo n mbagala hostel kat ya watu elfu 1 na mia 7.
  7. S

    Niulize chochote kuhusu DUCE

    Kuhusu kupata hostel za ndani ni kwa watakaowah au ni automatic arranged,msaada tafadhal
  8. S

    UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

    Naomb kujua idadi ya waliochaguliwa baed udsm kwan kuna jamaa kanambie kacheck kwny hiyo link kaona hawafiki 40! je kuna ukweli wowote kwenye hii first batch maana jamaa kanchanganya.
  9. S

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    wanaokuw wakwanza kuapply ndyo watakaopata kulngana na remaining capacity,kam remaining capacity n 20 kwnye course husika,applcants 20 wa mwanzo ndyo watakaopata then iyo course inadisappear kwenye list ya course za reapplctn.
  10. S

    Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

    Kwan hzo point 5 si zle za 2 principle pass kw coz zake ingekuw 3 pr.pass ingekua ivo but apo mtu anaweza kuw na CB kwny masomo mawili.
  11. S

    WanaCCM tupaze sauti zetu hali ni ngumu huku mtaani

    Inamana hawajui kuzsoma alama za nyakati hata picha hawazioni,maji yamefika shingoni afu unataka had udead kwanz ndo uamin kuw ulkuw wa kufa? dalili ziko waz,ccm imejchmbia kabur yenyew na kam hawaamn bac wasubr 25 oct wajtupie kabsa shmon na makamanda n fasta kujaza kifus na kushndlia.Ccm...
  12. S

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    No fact apo,kabla ya hapo princple pass ilikuw ni E ila now ndo D na hata kwny TCU wamefanya ulinganish huo ila ninachojua mm na ndcho kilchpo kwa wale arts kupata mkopo ni lazma uwe na Cut of point 4,mbna watu kbao walikuw na BRN DDD but wapo vyuo ingawa course na chuo ndo ishu.
Back
Top Bottom