Sms toka TCU

Sms toka TCU

Nikweli ujumbe wakuu,kwa anayetaka kuhama chuo itambidi alipie elfu 30 na huduma hiyo ufanyika online.
 
ukingia kwenye hyo link ya apply for transfer mwshon mwa maelezo wanasem CAS ipo for 3rd Round but soon iyo tranfer window itakuw opened,hyo nimeiona kw wale walichaguliwa kweny first ila kwa sec.round (profile ya jamaa angu) bado hawajawawekea hyo TRANSFER link.
Itafanyka in first in first served basis.
bila shaka najua mmenpata.
 
hapo nimekupata mkuu.......
 
Mna fiki mi kuandika hivyo nilikuwa niki wa dangany'a au......acheni kukurupuka bnaa
 
Muache ubishi siku nyngn....fuatiliaa kitu kwanza kiundani ndo ujue ume dangany'wa au vipi

hahahaa duh mbona na wewe unataka nichekesha tena mkuu........we umeanzisha uzi afu huna maelezo ya kutosha mimi ni wa 2nd round hiyo link kwa profile yangu haipo add sasa iv sasa nikubali vp wakati siioni mkuu au adi nikutumie screenshot ata ivyo iyo mada ya transfer ilishaongelewa na nikafaham ivyo kua is not accessible na ni kwa wa 1st round tuh ndo wanaiona iyo ...sasa wewe unakurupuka tuh oooh kuna sms ya transfer tcu vp kijana.........
afu mi nakueshimu sana na hakuna sehem niliyo kubishia zaidi ya kukuuliza tuh na wewe kushindwa tolea maeleza adi afike mtu mwingine ndo akusaidia
USHAURI:next time ukianzisha uzi hakikisha ushafanya uchunguzi na unamaeleza ya kutosha sio kukurupuka tuh.........Look at you!!
 
Mna fiki mi kuandika hivyo nilikuwa niki wa dangany'a au......acheni kukurupuka bnaa

sasa mkuu mi na wewe nani amekurupuka..!!?
kama ungekua umejipanga si ungejibu maswali ya watu vizuri na yenye maelezo yakujitosheleza sasa wewe dah.........umenifurahisha sana mkuu

EASY BUDDY........Naona ushapanic tehteh.. this is JF Bhana.
 
hahahaa duh mbona na wewe unataka nichekesha tena mkuu........we umeanzisha uzi afu huna maelezo ya kutosha mimi ni wa 2nd round hiyo link kwa profile yangu haipo add sasa iv sasa nikubali vp wakati siioni mkuu au adi nikutumie screenshot ata ivyo iyo mada ya transfer ilishaongelewa na nikafaham ivyo kua is not accessible na ni kwa wa 1st round tuh ndo wanaiona iyo ...sasa wewe unakurupuka tuh oooh kuna sms ya transfer tcu vp kijana.........
afu mi nakueshimu sana na hakuna sehem niliyo kubishia zaidi ya kukuuliza tuh na wewe kushindwa tolea maeleza adi afike mtu mwingine ndo akusaidia
USHAURI:next time ukianzisha uzi hakikisha ushafanya uchunguzi na unamaeleza ya kutosha sio kukurupuka tuh.........Look at you!!

Hahahahhaha...sasa wewe kumbe ulikuwa una jua kwa watu wa second rnd ni ngumu kuiona hiyo txt....afu na ww ulikuwa wa second rnd unge uliza wenzako wa first kwanza ndo uanze kanusha....kuwa makini siku nyingine
 
ukingia kwenye hyo link ya apply for transfer mwshon mwa maelezo wanasem CAS ipo for 3rd Round but soon iyo tranfer window itakuw opened,hyo nimeiona kw wale walichaguliwa kweny first ila kwa sec.round (profile ya jamaa angu) bado hawajawawekea hyo TRANSFER link.
Itafanyka in first in first served basis.
bila shaka najua mmenpata.

Mkuu hyo first in first served si ndo ile ya kuwahi?..anae wahi ndo anapata?
 
Yaah ni hivyo....kwamba yule atakaee wahi kutuma maombi wa kwanza yeye ndo atakuwa wa kwanza kutekelezewa kuhusu hayo maombi yake..
 
Dah Mkuu sasa kwa sie ambao hatuingii sana mtandaon itakuaje kaka kujua kama mda tayari ukitegemea tena voda ndo hvo saiv mb1...nisaidie hapo mkuu
 
Ebu mwny maelezo ya kutosha atusaidie coz kuna mgongano na sintofaham... Kama haifany kaz iyo link xo watatoa official announcement tcu wenyew bada ya app kuisha au?
 
Dah kaka na mm hpo ndo nachanganykiwa haswaa..kama ndo za kuwahia cyo mchezo aise
 
Me nadhani huyu kijana alileta taarifa kwa nia nzuri tu,isipo kuwa tatizo lake moja ana mihemko sana,sababu unavyo leta taarifa kama hiyo lazima uwe na full information ila sio ukiulizwa kidogo tu unatoa povu kama umekula omo badala ya kujibu hoja au swali ulilo ulizwa.
 
jaman hiv sisi wa waiting for aproval viiip ikiwa wanaweza temwa!! au imposbo iyo kitu??? wajuz wakuuuu
 
Mkuu Tusubiri Tu Institution Zta Approve Soon Ila Nackia Chuo Knachozngua Sana Ni Udsm Coz Tcu Yaweza Kukubal Wenyew Wakakataa Kuku Admitt
 
iv kwnz hii system ya kubadilisha chuo online imeanza mwaka huu au miaka yote walokua wanabadili chuo walikua wanaomba online? Mwny majbu tafadhali
 
mm nimeulizia kwa wadahiliwa wa mwaka jana wakasema hii system ni mpya na ni kama neema vle kwasababu wao walikua wanaenda moja kwa moja tcu pamoja na pale ambapo walikua wanataka kuhamia ili kupata nafac...sie tunafanya online Kuptia Accnt Zetu
 
Back
Top Bottom