Recent content by snboy

  1. snboy

    Msaada kwa mwenye uelewa wa PTSS 10.1 salary scale ni sh ngapi

    Kuna taasisi imetangaza nafasi ya ajira ssalary scale yao ni PTSS 10.1. sasa nataka kufahamu ni sh ngapi kabla sjaachia hii job niliyonayo isjekuwa hakuna utofauti na hapa nilipo msaada tafadhali
  2. snboy

    Musonda: Mfahamu mshambuliaji hatari kutua Yanga wiki ijayo

    Yanga ina wachezaji wa kimataifa 12. mpaka sasa haijapunguza hata mmoja. hyo anapata nafas wap nan kaachwa. wachezaj wote wa kimataifa wana mikataba muda mrefu. yanga hawana uwezo wa kuivunja hyo mikataba na wakapata hela ya kununua mchezaj mwingine
  3. snboy

    Unataka kununua nyumba au kiwanja? Hakikisha haya kisheria usitapeliwe

    Kumbe wanashereria nao ni wajanja. kuna wakili nilimpelekea issue ya kuniamdikia mkataba wa bajaji. mwishoni kabisa akaniandikia ukitokea mgogoro watakaohusika kutatua ni sisi tuliopeana bajaji. Mimi nilifikir ukitokea mgogoro mfano tukaenda mahakamani na yule wakili atakuja kunisaidia
  4. snboy

    Naombeni msaada wenu kuhusu sheria ya mikopo kwa taasisi za kifedha

    Asante mkuu.nimekuelewa sana. Lakini nafikiri kuna mswada alipeleka Mpango bungeni kuhusu hizi microfinance. Sasa tatizo hili litaisha maana wamewekewa ukomo wa riba na mambo mengine. Let us wait
  5. snboy

    Naombeni msaada wenu kuhusu sheria ya mikopo kwa taasisi za kifedha

    Nimekuelewa mkuu. Ninachotaka kufahamu hapa ni sheria ipi inawaruhusu wao kukata hadi 45%? Je, sheria ya huduma za kifedha zinasemaje kuhusu mikopo na riba zinazokubalika kisheria?
  6. snboy

    Naombeni msaada wenu kuhusu sheria ya mikopo kwa taasisi za kifedha

    Wanajamvi habari. Naomba msaada wenu. Ni sheria ipi inayotoa mwongozo wa taasisi za kibenki na makampuni ya kifedha kupanga riba katika kutoa mikopo? Kuna kampuni maarufu kama Bayport ambayo Director wake kwa hapa Tanzania ni Anna Mkapa inatoza riba hadi 100%. Sheria inasemaje katika hili...
  7. snboy

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Mkuu ushauri wako ni mzuri. Lakini kuna kitu kinaitwa privacy of the informer. Hili ni la msingi hata sheria ya takukuru imeliweka. Sasa unavotaka niweke taarifa zangu hadharani kama ulivoelekeza ushaur huo ninaukataa kwa mujibu wa sheria ya takukuru ya mwaka 2009. - aidha naweza kusahihisha...
  8. snboy

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    HII HAPA RUSHWA KUBWA NCHI NZIMA!! -Wakuu, maafisa elimu sekondari wamekua wakizoea kutoza rushwa kwa walimu ili wapewe nafasi yankusimamia mitihani ya taifa. Hili linafahamika. Hii imekua ikipelekea hata kuwapitisha wasimamizi wasio na sifa kisa tu wametoa hela. Iko hivi: kusimamia kwa siku 10...
  9. snboy

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo karatu arusha yy aje geita dc, chato au kahama 0765932749
  10. snboy

    Ushauri wa kisheria kuhusu agency fees kwa watumishi

    Bado sijaandika hiyo revocation letter. Nilikua nataka kwanza niulize kisheria kama ukiandika hiyo letter kama hayo makato yanaweza kuondolewa. Maafisa wa cwt wanasemahata ukiandika watakufuta uanachama lakin hiyo 3% kwenye mshahara itaendelea kukatwa coz chama hua kinatetea walimu wote bila kubagua
  11. snboy

  12. snboy

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hii sehemu haihusian na hizo post. Ingia upande wa elimu
Back
Top Bottom