Unataka kununua nyumba au kiwanja? Hakikisha haya kisheria usitapeliwe

dikir kab can

JF-Expert Member
Mar 20, 2018
901
1,000
Kumbe wanashereria nao ni wajanja . kuna wakili nilimpelekea issue ya kuniamdikia mkataba wa bajajaj . mwishoni kabisa akaniandikia ukitokea mgogoro watakaohusika kutatua ni sisi tuliopeana bajaji . mimi nilifikir ukitokea mgogoro mfano tukaenda mahakamani na yule wakili atakuja kunisaidia
ulibadili hicho kipengele?
 

Kuziwa

JF-Expert Member
May 23, 2011
248
250
Uzi murua, shukrani sana, nina maswali mawili;

1.Kuna ulazima wa viongozi wa serikali ya mtaa kweye hili, nimeona maeneo mengi wenyeviti wa vitongoji na watendaji wakijumuishwa kwenye hii mikataba

2.wakili akihisishwa, gharama za kuandaa mkataba inakuwaje? kuna mazoea kwamba ni 10% ya makubaliano, hililimekaaje?
 

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
717
500
Nasubiri majibu kwa maswali mengi yaliyo ulizwa ndipo na mimi niulize ya kwangu kwani naona mleta uzi kawa kimya.
 

Pencil

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
214
250
Asante JF kwa uzi huu. Fanani Binafsi nimefurahishwa sana na huduma hii. Ukimya wa mleta mada unanifanya nifikiri kwamba huduma yake kwa jamii imeishia hapo. Zaidi ya hapo ni kazi kama ilivyokawaida ya wanataaluma.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom