kwanza wewe ndo ulianza kuikuza milioni 3 kumshauri mtu anunue kiwanja, pili kutuma financial statement yako umezidi kudhihirisha uhohehae wako
kwahiyo unajiona kuwa wakala kwa mtaji wa 5M tayari ushakuwa na levels nilizozungumzia, niliijua akili yako ndo maana nilikwambia una akili za kimasikini
anyway, sikutaka majibizano na mtu mwenye akili ndogo kama zako. niliongelea levels za kushika milioni 5 ukaenda kuleta sms ya muamala. hivi unajua maana ya levels kweli? sikuuliza kama umewahi kushika milioni 5, badala yake umeenda ku download sms ukanipachikia, ya nini?
Hata maana ya reply...
uandishi wako umebeba hisia na mawazo ya masikini
umeipa ukubwa sana hiyo 3M, kwa wanaosomesha hiyo 3M kwao ni ndogo kama ilivyo laki 3 yako.
kwahiyo, unavyowaza kwanini asinunue viwanja vya 3M ni sawa na maskini aliyechini yako anayewaza kwanini hiyo laki 3 na mahindi unayomsomeshea mtoto...
lipa namba kazi yake ni kumpunguzia makato mteja asiye na cash
mfano, umenunua bidhaa halafu pesa ipo kwenye simu, badala ya kwenda kuitoa kwa wakala ukatwe makato makubwa, una lipa kwa simu kwa makato madogo zaidi.
kama unataka kutoa kabisa makato basi lipia cash bidhaa ulizonunua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.