AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,629
- 23,409
Jibu la mwisho tuachaneHao madogo Kuna muda lazima uwapeleke kwao wakajifunze ,usimpe talaka fanya kama unamrudisha kwao kama mwezi hivi.
Jibu la mwisho tuachaneHao madogo Kuna muda lazima uwapeleke kwao wakajifunze ,usimpe talaka fanya kama unamrudisha kwao kama mwezi hivi.
Unaenjoy nini, mtu ameliwa tokea shule ya msingi mpk chuo, wewe unachukua unafungia ndani umepata mke ,halafu unasema unaenjoy. Hii ni tapeli kama tapeli zingineNdoa sio utapeli, kuna watu wameoa na wanaenjoy sana, ila ndoa inaitaji mwanaume a
Cha muhimu hakikisha muda wote umeshiba yani kula ushibe, hata kama ukipigwa chini uwe umeshibaHabari members wenzangu
Nimekuja kwenu kuomba ushauri mbali mbali kisha nichanganye na zangu
Nina miezi sita sasa tangu nimefunga ndoa na mwanamke niliekuwa nae katika mahusiano kwa miaka miwili.
Nilichokuja kugundua ni kuwa muda wite wa mahusiano yetu alkuwa akiigiza tabia.
Kwa sasa ameonyesha tabia yake halisi
Ni mwanamke asietulia nyumbani, ana magroup ambao yana jinsia zote yaani wana kijiwe chao, zamani alikuwa anaaga kwanza kabla ya kutoka nyumbani ila kwasasa haagi kabisa, pia hana mawasiliano na mimi mpaka nimtafute.
Najiuliza je amepata mbadala wangu au marafiki zake wanamuweka busy mpaka ananisahau?
Naomba ushauri nichukue maamuzi gani?
Kama kuongea nae naongea nae ila anaacha kwa muda kisha tabia inajirudia.
Naombeni ushauri wenu.
Wakakilisha.
Wewe kama unateseka na mapenzi endelea kuteseka ila nakuambia kuna watu wanaenjoy sana ndoa zaoUnaenjoy nini, mtu ameliwa tokea shule ya msingi mpk chuo, wewe unachukua unafungia ndani umepata mke ,halafu unasema unaenjoy. Hii ni tapeli kama tapeli zingine
Unakula msoto 😀Mi nlijua ukioa ndo unakula maisha mzee
Mpaka sasa hakuna majibu.He mkeo ana umri wa miaka mingapi?
Je ulimwoa tokea kwao (baba na mama) au alitokea ghetto?
Je ulifuata taratibu sahihi za kijamii wakati wa kuoa?
Majibu ya maswali ni muhimu
Wanawake wengi wao ni Malay..a huingia kwenye ndoa ili kufanya umalay..a wao kwa uhuru. Katika kitu wanaume tume patikana ni kuoa yaani kabla ya ndoa huwa huru na furaha.Najiuliza je amepata mbadala wangu au marafiki zake wanamuweka busy mpaka ananisahau?
Naomba ushauri nichukue maamuzi gani?
Asipoelewa hapa ndo basi tenaPole sana Mkuu.
Kama uchumi unaruhusu vizuri, jaribu kujenga mahusiano mengine nje ya huyo mwanamke.
Pili, usijaribu kumtuliza kwa kuongea nae mara kwa mara juu ya mabadiliko hayo anayokuonesha, hafanyi kwa bahati mbaya ila ni kwa makusudi.
Tumia akili nyingi katika hili na sio hisia, ndoa inaangusha sana wanaume wenye vision na waliosimama. Tafuta mwanamke mwingine anzisha nae mahusiano, utulivu na amani ya moyo uipate huko kuliko kuwa na mwanamke mmoja anayekupa stress, atakuua. Mifano ipo mingi sana kwa wanaume kupotea kabisa kisa wanawake, tena kujaribu kumnyenyekea ili abadilike ndio unajimaliza.
Kama hujazaa nae hiyo ni ADVANTAGE KUBWA SANA KWAKO.