Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili...