pray for me

pray for me

Smartphone..., kila kitu kina wakati wake. Kuna wakati wa kuoa na kuolewa.., kuna wakati wa kucheka na kulia.., kuna wakati wa kuzaliwa na kufa..., kuna wakati wa kupanda na kuvuna.
Nami natafuta mchumba pia.., tuwasiliane.., Mungu anaweza tenda jambo kuu ktk maisha yetu mwaka huu..., tuendelee kuomba.., no one knows except our Almight God.
Heri ya mwaka mpya na Mungu akujaze rehema zake na akutimilizie haja za moyo wako.

Mtambulishane jinsia kwanza! Unaweza kuta nyote ni midume!
 
Mungu hachelewi wala hawahi. Endelea kuamini. Kila la kheri kwa mwaka 2013. Kila jema upewe weww.

hebu na mm nitakie baraka kama hizi lol! haya maneno uliyoandika ni mazito sana siyo kwamba namuonea wivu la hasah ila nipe ule mbaraka ulibaki kama vile Esau alivyoomba ule mbaraka uliobaki lol!
 
Mungu wetu ni mwaminifu sana na sifa yake kuu ni kwamba uaminifu wake unamzunguka alisema atakufanyia mwenza wa kufanana na wewe jua kwamba hili neno linamzunguka sasa wew mshukuru kwakua amesha kutengenezea ila bado hajamleta kwako, na kumbuka atamleta muda na wakati ukifika.
 
Jitahidi kuzunguka hata JF....unajua unapomuomba Mungu usidhani atakuletea kitu kwenye silver plate
You better also show some struggles rather staying and hoping mchumba will come!
 
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili ya hili pasipo majibu,please naomba mnisaidie kusali pamoja nami na ikiwezekana kupata mawazo yenu course nimekosa imani!asante

Kumbuka kupata mke alietoka kwa Mungu haihusiani na mwonekano au kipato. Ni vizuri kuwa na mambo hayo kama unaweza lakini katika ulimwengu wa kiroho ni ya umuhimu kidogo au hakuna. Katika kitabu cha Mwanzo 24:3-4 ilikuwa na wakati wa Isaka kuoa, Ibrahimu alimtuma mtumishi wake kwenye nchi yake na maelekezo madhubuti ya kupata mke kwa ajili ya mwanawe. Alijua kwamba Mungu kuchukizwa na ndoa ya watu wasioamini. Mpaka sasa huo ndo msimamo wa Mungu kwamba msichanganyikane na mataifa yaani watu wasioamini. Pia soma ktabu cha Methali 31. Zidi kudumu katika maombi Mungu hatakuacha atakupa mke mwema maana kila vitu vyema vyatoka kwa Bwana kwa hiyo usione kama vile umechelewa kamwe haujachelewa ndugu kazana kuomba
 
Vuta subira huku ukiendele kuomba ndugu yangu kwani wenye subira siku zote wako na mwenyeezi Mungu.Pia Mungu ni mwaminifu atakupatia huyo mchumba iwapo utakuwa unaomba kwa dhati,
 
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili ya hili pasipo majibu,please naomba mnisaidie kusali pamoja nami na ikiwezekana kupata mawazo yenu course nimekosa imani!asante
sikiliza nyimbo hii..kala jeremiah- Dear God..halfu nikuambie tu..Mungu sio mganga kwamba ukiomba sana ndo anafanya ama vipi vipi..ukweli ni huu Mungu anafanyaga kitu pale mapenzi yake yanaporuhusu..ila kwa experience yangu pale binadamu anapokataga tamaa Mungu ndio anafanyaga njia..amini hivi Mungu kesha kusikia long time sana..sasa chamsingi fanya vitu vingine ktk maisha kama ni shule soma sana, kazi piga kazi sana, business hivyo hivyo etc...pale usipotegemea tu unakuta vruuuum kabaaaang...mtoto wa ukweli huyo hapo...so usiwaze..sana..fanya mengine sasa hivi..ova...
 
Kumbe we unataka mchumba na siyo mke? wachumba utawapata wengi lkn mke Mwema anakupa Mungu. Pengine maombi yako hayajajibiwa kwa sababu unaomba mchumba. Badilisha maombi, Mwambie Mungu akupe mke mwema aliyekupangia. Mungu anasikia maombi atakupa haki yako.

Will pray for you.
 
hapo kwenye red ,una hakika?
 
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili ya hili pasipo majibu,please naomba mnisaidie kusali pamoja nami na ikiwezekana kupata mawazo yenu course nimekosa imani!asante

tuombeane na mimi pia naomba Mungu nipate mchumba
 
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili ya hili pasipo majibu,please naomba mnisaidie kusali pamoja nami na ikiwezekana kupata mawazo yenu course nimekosa imani!asante

acha ukicheche na usipende kumjaribu bwana mungu wako..
 
Thanx,huwa najichanganya sana tu,but wote ninaokutana nao hawana nia ya kuwa na serious relationship.
 
Asanteni sana kwa mawazo yenu,hope mwaka huu mungu atatenda,samahani kwa kuwapa utata wa jinsia,mimi mi msichana wa umri wa miaka 27,nawapenda sana!
 
Prophecies For Individuals In 2013 – Prophet T.B. Joshua

Let me give you six out of many.

The prophecies for nations, continents and for those at the helm of affairs shall be announced during the next Sunday Service.

1. A year of surprises – I am seeing many great, famous, popular and rich men and politicians will become helpless and in need of help in matters of sickness, disease, finances, d...eath, etc. One of the causes: They have failed to reward those who helped them to succeed. This is the year of judgment, especially for politicians who use youth to support their political ambitions without reward after winning power. Tell your neighbour: Reward those who help you succeed now.

2. Those in the foodstuff business will have a field day this year. Farming and agriculture will be the order of the day and will help greatly to be the source of solution this year. People engaged in it will be greatly blessed.

3. Those anxious about God and who hate sin – the faithful - your prayers for many years are not lost. This year, there will be instant answers to your prayers, especially those who have been seeking for the fruit of the womb. The long-time barren will become mothers of many babies this New Year.

4. Natural disasters will be many this New Year, such as motor accidents, sea sickness and air disasters. Let us move to God. With God, all things are possible.

5. Stop praying against those who hurt you. This year, you will see clearly that God is God of vengeance. Instead, you should pray for them.

6. Do charity work – feed the poor and the needy and give scholarships to those who deserve them. This year, there is great reward in doing this if you do it with all your heart. No matter how little, share it with others. Share their pain and share their joy.

7. Our youth who think always of travelling should use the money to go into agriculture or foodstuff business because in the New Year, God will bless them. They will achieve greatness by transacting in agriculture and foodstuff and become successful in export and import business. The money I am talking about could be in the region of N100,000, N200,000, N250,000 ($1,000, $1,500, $2,000).
Those who have been working for many years and have never been satisfied with the job and salary they receive, the little limited resources at their disposal should be invested in foodstuff business or agriculture, especially those already married. They should divide themselves in such a way that either the husband or wife should step down from service where they receive salary and face agriculture.
Foodstuff business and agriculture or farming are anointed businesses this New Year, to revive the world from economic depression. This is the secret of God revealed to you today. Quote me; you will not regret doing it. My name is T.B. Joshua.
 
Back
Top Bottom