Mashine ya Ice Cream na ya Cone (Waffle) zinauzwa

Mashine ya Ice Cream na ya Cone (Waffle) zinauzwa

Luqash

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
916
Reaction score
343
Brand New Ice Cream Machine inauzwa, capacity yake ni 22ltrs, ya kuweza kuweka flavor tatu tofauti (midomo mitatu), pamoja na mashine ya kutengenezea cone zake, capacity yake ni 50-60 pcs kwa saa. Serious buyers only...!
 
Attachments

  • soft ice cream machine.jpg
    soft ice cream machine.jpg
    30.1 KB · Views: 1,134
  • ice cream cone machine.jpg
    ice cream cone machine.jpg
    32.4 KB · Views: 992
...tupia bei kamanda na mzigo upo wapi ...
 
Mzigo upo Dar, both goes for Tshs 5.2M
 
Unaweza kukopesha kama mtu anaweza kujidhamini au kudhaminiwa?
Pili, elezea jinsi inavyofanya kazi, mali ghafi zinazotakiwa kutengeneza ICE CREAM nk.
 
Kukopesha hapana, kwa anayehitaji seriously atapewa maelekezo.
 
nataka kujua matumizi yake ya umeme,inaweza consume kiasi gani kwa mwezi,na bei yake ya mwisho sh ngapi?
 
Brand New Ice Cream Machine inauzwa, capacity yake ni 22ltrs, ya kuweza kuweka flavor tatu tofauti (midomo mitatu), pamoja na mashine ya kutengenezea cone zake, capacity yake ni 50-60 pcs kwa saa. Serious buyers only...!

Hiyo mashine ya ice creame imetumika au ni mpya, brand gani?
 
Back
Top Bottom