Kiufupi mwalimu anatakiwa kuelezea concept za sub topic alio jipanga kufundisha na si kusoma kitabu, ni changamoto sana hapo mfano Geo ya 4m 3 , inahitaj uwe deep vinginevyo utasoma kitabu kma kilivyo , ila ukiona watoto slow learners ni weng unaweza wafundisha kwa groups kuwasaidia.
Sent using...
Si kosa kusomesha mtoto shule bora kama uwezo upo, mazingira ya shule za government ni vile hakuna namna nyingine ila si rafiki kwa elimu bora , mtoto anaingia darasa moja wako 130 unaweza vipi linganisha na wale wapo 45 had 35 ?,pia T.I.D unae msema kasoma Shabarn Robert Upanga fanya tafiti...
Maisha yana matukio mengi wala usishangae sana sidhan kama kuna mtu yuko na akili timamu anaweza fanya ilo jambo makusudi sometimes inabidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya shida yanadumaza had fikra mda wote unawaza negatives tu, si kosa kuzaliwa kwenye hela tupambane watoto wetu wasije kurithi shida .
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu tuo mfano wa vijiji vyenye nyumba maji na umeme kama si unaadika kma huijui Tanzania vizur , watu wanapangwa vijiji vya kusini mwa Tanzania yetu hii huduma za kijamii ni mbovu had wengine wanakufa kwa malaria kisa kukosa huduma kwa wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahama, babat, dom ,karatu,arusha stand ndogo, dsm mwenge ,tegeta, kkoo,kinondon , survery njia ya UDSM competition utakutana nazo tu popote sababu biashara yako sio mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.