Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,400
- 29,339
Tulia wewee
Fanya kazi acha porojo, wake za watu utawapata wapi huko.
Tulia wewee
MSICHANGANYE JAMANIHii habari mbona imo humu kitambo tu.
BTW hamna jipya.
thebbcghana.com
Mwandishi ameripoti kisnichi snichi“..... mwanamme anayedhaniwa kuwa ni mume wake”.
I like this kind of reporting.
Upuuzi tu hakuna lolote.Ndio Maana Waislam wakizikwa huzikwa kwa kutajwa jina la MAMA sio BABA wanawake wanasiri kubwa katika hili..
Hakika Alla anawajua viumbe vyake..
😂😂😂😂😂 Inaumiza sana kuambiwa ulikuwa unalea magarasa.Unaweza kuuua mtu na uchungu bado usikuisheeeTena jamaa wawatu wamuache wala wasimu-harass kabisa.
Tukio hili lingefanyika kitaani hata mimi ningemu-assist mshkaji