I phone city ya Dar free market ni matapeli

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,117
Ni ushauri tu wala sio lazima uufuate siku hizi kuna maduka mengi yanauza I phone.

mme wangu Alinunua simu pale na kama ujuavyo bei za I phone tangu amenunua imekuwa ikiharibika na kila tukiirudisha wanasema changia hela kidogo tukutengenezee.

Ukiwaeleza kuwa hii simu ina warranty wanakusumbua wanakwambia iache mpaka mzigo uje kutoka China na kwa sasa China kuna korona.

Hii ni tahadhari kama unataka kununua simu bila usumbufu, kwanza sijui wana operate vipi hawana Mashine ya risiti ya kielektroniki basi ni utapeli wizi wizi mtu

“buyers beware”
 
Aisee, kesi kama yako imenikuta kwa iphone city wa sinza... sijajua kama wana uhusiano wowote au vip..
maana jamaa wanauza iphone za kuunga hapahapa bongo, yan simu box kuuubwa halaf imeegeshwa.. yani dakika mbili imeharibika, mara hiki mara kile..
Ukifatilia kubadilisha unaanza kulishwa maneno.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa bongo sijaona sehemu ya kununua i phone zaidi ya kwa dealers wao. Karibia zote ni mbovu tu
 
Iphone numueni I store mlimani city au posta' pale simu zao ni ghali lakini za uhakika ' mie mume wangu alinunua mwaka juzi hadi leo simu ni nzima haina shida' ila bei zao zipo juu sana
Aisee, kesi kama yako imenikuta kwa iphone city wa sinza... sijajua kama wana uhusiano wowote au vip..
maana jamaa wanauza iphone za kuunga hapahapa bongo, yan simu box kuuubwa halaf imeegeshwa.. yani dakika mbili imeharibika, mara hiki mara kile..
Ukifatilia kubadilisha unaanza kulishwa maneno.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom