Recent content by smart one

  1. smart one

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema hana matishio yoyote ya kiusalama, amekimbia kivuli chake

    Mwenzio analipwa we unawaza aje akae nyumbani mtazamane usoniiii? Endeleeni na mashairi yenu wakati hayawapi hata mia
  2. smart one

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumrejesha Mbowe Bungeni tutakuwa tumefunga rasmi siasa za Uchaguzi na kujielekeza kwenye kuchapa kazi

    Mbowe sio ng'ombe kama wewe, huo ujinga wako wa kisiasa kawashauri ng'ombe wenzio
  3. smart one

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema hana matishio yoyote ya kiusalama, amekimbia kivuli chake

    Toa ujinga wako hapa
  4. smart one

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla jiulize sana kwanini wewe

    Kigwangala alikuwa anajisahau sana, muda mwingi yupo mitandaoni kubishana; kukejeli na wakati huo huo yeye ni sehemu ya serikali, mbaya zaidi yupo illogical tena ni mzigo kufikiri. Huyo jamaa ashawahi wapigisha push ups maafisa wa jeshi na kuwarusha kichura hadharani. Kigwangala ana matakataka...
  5. smart one

    JamiiForums Tanzania Serikali kupanga bei kikomo ya Saruji kwa kila Mkoa

    Price ceiling
  6. smart one

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

    Rest Well in Eternal Peace Radio
  7. smart one

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Mwenyewe nimedoubt sana, nadhani anataka talaka tu. Kilewo sio mpmbavu kiasi cha kutelekeza familia
  8. smart one

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Neno jema sana
  9. smart one

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Nnavomtaman mweh! Mbombo jilipo., Achaneni kelele ziishe
  10. smart one

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

    Something is wrong with taratibu
  11. smart one

    JamiiForums Tanzania Jana nimekula kitimoto bila kujua!

    Nipo Mbeya nikuongeze huku bei poa kabisa...... Tutaweka na Castle
  12. smart one

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuzindua kampeni kwa aina yake siku ya Jumamosi Kinondoni

    Sugu alisema nini mkuu?
  13. smart one

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wapinzani aina ya Lema, Sugu, Lijualikali, Msigwa badilikeni, zama zimebadilika kwa sasa

    Niterejea baada ya kumaliza shughuli za msingi. Hili linahitaji utulivu kulijadili. Ahsante.
  14. smart one

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wapinzani aina ya Lema, Sugu, Lijualikali, Msigwa badilikeni, zama zimebadilika kwa sasa

    Anyways umetumia lugha safi kabisa ambayo ni ya kistaarabu lakini ndani ya andiko lako kuna shida kidogo. Binafsi naona awamu hii haina dhamira safi kwa wapinzani, kwa sababu matumizi ya nguvu ya vyombo vya dola yamekuwa ni makubwa kuliko hicho kinachoitwa uchochezi. Serikali hata isemwe...
Back
Top Bottom