CHADEMA kuzindua kampeni kwa aina yake siku ya Jumamosi Kinondoni

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Siku ya Jumamosi tarehe 27/01/2018 CHADEMA Chadema kuzindua kampeni Kinondoni. Wewe Mtanzania uishie Kinondoni na mahali popote ndani ya Dar es salaam usikose kufika. Njoo ushuhudie kampeni na uchaguzi tulioamua kutokuwa walalamikaji kwa CCM, wakurugenzi au jeshi la Police.
 
Mkiongea mabaya kuhusu CCM na serikali yake tunawakamata na kuwaweka ndani kama Sugu
Kijana, acha kuichoinganisha Serikali na watu wake. Serikali inahusikaje na mambo hayo ya kampeni. Heshimu Serikali kijana, usipofushwe na siasa kwa kila jambo.
 
ukawa irudishwe bungeni tena jaman...hope ufund ufund utawezekana kutokomezwa hapa town.kampen na kura ziwe fair..
 
Kama Wewe si Mpiga kura wa Kinondoni , kwenda kwenye Kampeni ni kumliwaza tu na kumpa matumaini hewa Mgombea wako
ok...una point lakini mimi naenda kuwasikiliza wengine sababu najua watatumia hiyo opportunity kuongelea mambo mbalimbali
 
Uchaguzi wa Kinondoni ni mapambano kati ya kiongozi wa kweli, na mla rushwa aliesababishia nchi hasara ya bilioni moja kwa ajili ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom