Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili.
Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
Kwa mujibu wa mwandishi, ukiona sio applicable maana yake wewe bado hujawa tayari kuwa bilionaire, endelea tu kutafuta hela ya kula.Ila ukiwaza kuwa bilionea hela ya kula haitakupiga chenga. Mtazamo wangu tu.
Mkuu,Mtazame mtoto kama anakuvutia na kukufanya ujione kama baba yake usihangaike.Ila kama unasababu za kutotaka awe mwanao basi tafuta sababu ili uweze kuwaacha.Cha muhimu juakwamba huyo wa kwanza ni wa kwako ila atakayefuata lazima utabambikiwa tu mtoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.