Mkwekwe_mchanja
Senior Member
- Oct 16, 2020
- 153
- 171
Tatizo ni hizo stori za akina diamond. anyway ila kama anakuambia hivyo basi jua ipo hivyo, baba halisi wa mtoto anamjua mama
Wakati huu kushikishwa mtoto sio wako ni kutaka mwenyewe, Nenda kwa Mwanasheria atakuandikia barua ya kuhakiki DNA, ni bora kufanya sasa kuliko kuingia gharama na uje kujua sio wakwakoTuna mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 3 , Tulibahatika kupata mtoto kabla ya kuoana yaani kipindi cha upenzi ndio kipindi ambacho alipata mimba na baadae akajifungua ndipo nikaamua nimsogeze tuwe familia moja....
Jambo linalo nishangaza sana ni kauli zake tata...kama mmnavyo jua kuwa mama diamond amesema ukweli kuwa diamond sio mtoto wa mzee abdul ..
Sisi tumekuwa na stori za kawaida zinazo husiana na tukio kubwa lililo fanywa na mama diamond
Kwenye stori tunazoziongelea mke wangu anasema kumpakazia mtoto mwanaume ni jambo la kawaida ....hili jambo amekuwa akilirudia mala kwa mala pia kuna wakati akasema mtoto anapewa Baba mwenye uwezo wa kulea haijalishi kama sio wakwake kikubwa ni mtoto aende mahali salama
Nikamuuliza kama utani vile "kama shida ni malezi ya mtoto kwanini mwanaume asiambiwe ukweli kwamba uyo mtoto sio wako ila nataka umlee " akanijibu hakuna mwanaume atakae kubali kabisa kwaiyo ni lazima ukweli ufichwe ili maisha yaendelee..
Sijamuonesha kuwa naanza kumuhisi vibaya ila kwakifupi anaonekana kuwatetea sana wanawake wanao wapakazia mwanaume watoto wasio wao ...
Ananifanya niache kujiamini juu ya huyu mtoto tulie nae na ananifanya nipunguze mapenzi kwa mtoto huyu....
Msaada wenu je ? Kuna uwezekano wa kupima DNA kwa siri bila yeye kutambua ..
Kuna wanawake waliolewa wakiwa mabikira,walikuja kuharibikia ndani ya ndoa,Kwamba akimuoa akiwa bikra ndio hayo mawazo ataacha?
Dude a broken woman is broken. Akishanazwa ujinga na wenzeka huko saloon ijalishi ni bikra au lah.
Hiyo ndio mind set yake. No changes hata kama angekuwa bikra.
Mkuu,Mtazame mtoto kama anakuvutia na kukufanya ujione kama baba yake usihangaike.Ila kama unasababu za kutotaka awe mwanao basi tafuta sababu ili uweze kuwaacha.Cha muhimu juakwamba huyo wa kwanza ni wa kwako ila atakayefuata lazima utabambikiwa tu mtoto.Tuna mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 3 , Tulibahatika kupata mtoto kabla ya kuoana yaani kipindi cha upenzi ndio kipindi ambacho alipata mimba na baadae akajifungua ndipo nikaamua nimsogeze tuwe familia moja....
Jambo linalo nishangaza sana ni kauli zake tata...kama mmnavyo jua kuwa mama diamond amesema ukweli kuwa diamond sio mtoto wa mzee abdul ..
Sisi tumekuwa na stori za kawaida zinazo husiana na tukio kubwa lililo fanywa na mama diamond
Kwenye stori tunazoziongelea mke wangu anasema kumpakazia mtoto mwanaume ni jambo la kawaida ....hili jambo amekuwa akilirudia mala kwa mala pia kuna wakati akasema mtoto anapewa Baba mwenye uwezo wa kulea haijalishi kama sio wakwake kikubwa ni mtoto aende mahali salama
Nikamuuliza kama utani vile "kama shida ni malezi ya mtoto kwanini mwanaume asiambiwe ukweli kwamba uyo mtoto sio wako ila nataka umlee " akanijibu hakuna mwanaume atakae kubali kabisa kwaiyo ni lazima ukweli ufichwe ili maisha yaendelee..
Sijamuonesha kuwa naanza kumuhisi vibaya ila kwakifupi anaonekana kuwatetea sana wanawake wanao wapakazia mwanaume watoto wasio wao ...
Ananifanya niache kujiamini juu ya huyu mtoto tulie nae na ananifanya nipunguze mapenzi kwa mtoto huyu....
Msaada wenu je ? Kuna uwezekano wa kupima DNA kwa siri bila yeye kutambua ..
Thats my point man. Watu wanashadadia bikra as if hiyo ndio itamtuliza mwanamke kwenye ndoa. Well bad news.. mwanamke labda aamue kutulia mwenyeweKuna wanawake waliolewa wakiwa mabikira,walikuja kuharibikia ndani ya ndoa,
Kwa sababu ya tamaa,marafiki au kampani mbaya.
Hi dunia haiko tambarale.
Tena wengine kuwa Malaya kabisa.
Cha kufanya mpime mtoto kwa siri uwe na uhakika unamlea mtoto wako au sio wako
Sent using Jamii Forums mobile app
20 ni wengi sana mzee baba, hata wakiwa wawili tu wenye uzito unaokribiana huwezi jua wako ni yupi!Mara nyingine kufanana na mtoto ni mentality unayojijengea ukiwa unaimani tangu mwanzo ni wako.Sasa hivi kwa kauli za mkeo unahisi sio wako,ila inawezekana ni wako.Nakupa mfano ,watoto waliozaliwa leo hii kama 20 mloganzila wasipowekewa lebo wakawekwa chumba kimoja wote kila familia iambiwe wakachague mtoto wao, je wataweza?