Recent content by smakuru

  1. smakuru

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kidedea TAHLISO awabwaga marais UDSM, UDOM.....

    Mm kinachoniuma kuwa leo ni jpili na hakuna mtu hata mmoja aliyejitokeza kumtukana gwajima sasa sijui mahubili ya leo kama yatakuwa na mvuto, bora mtu ajitokeze hata leo kwani bado ni mapema
  2. smakuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nimezini na mke wa mtu

    Sawa jisifie kula mke wa MTU na wewe ujue malipo ni hapa hapa duniani na wewe wako ataliwa tu
  3. smakuru

    JamiiForums Tanzania Vituko vya mochwari

    Mambo ya mochwari tuyaache kama yalivyo maana hayafai hata kidogo na km unataka kujua mengi nenda kamuone muoshaji akusimulie kikubwa uwe mvumilivu ili usije ukatoka nduki
  4. smakuru

    JamiiForums Tanzania Mzunguko wa dunia katika mhimili wake

    Hii mada tamu sana ingawa mnaigusa kidogo na kuiachia hewani
  5. smakuru

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Ubora wake uko wapi?
  6. smakuru

    JamiiForums Tanzania Tujuzane zaidi kuhusu nchi ya Ethiopia

    Tusimkatishe tamaa kiasi hicho hana nia mbali ila ameomba kujua mengi kuhusu Ethiopia
  7. smakuru

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu someni hiki kisa cha ukweli mpate kujifunza kitu ndani yake

    R.I.P kafa kishujaa jamaa, pia alikuwa jasiri sana mpaka kuwa na nguvu za kuwaita wazazi wake, mm ningetoka nduki kwelekea pasipojulikana
  8. smakuru

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Kesho atatuambia sababu ya kukamatwa kwake kwani mchungaji wetu hana siri
Back
Top Bottom