Mi mwenyewe nimeshangaa kwakweliMtu kaleta uzi wa kuelimisha lakini kwa vile wabongo machizi wengi wanamnanga., angewakea habari za wema sepetu au diamond uzi ungekuwa umesheheni balaa..shule za kata zimeiharibu hii nchi Ngosha endelea kuwanyoosha hawa wavivu wa fikra na kila kitu.
Si wanasema haile selasie ni bloodline ya suleiman mfalme wa israel. Si wajua miaka kama 3 nyuma waethiopia kama 800 walirudisha israel maana ndio kwao kiasili sema ndio wanabaguliwa ile mbaya huko. And pia lile sanduku la agano lipo huko i thinkNahisi hivyo hata mimi hata vitabu vya Biblia kuna Watu wametajwa kutoka Ethiopia hata miaka yao ni tofauti na yetu mwaka mpya hatuli pamoja,Na vipi kuhusu imani ya rastafarii watu kama kina culture ukiangalia wafalme wao walikua marasta.
Asante Mkuu . Pia Ethiopia ina wanawake wazuri sana yaani sanaTukiwa tumepokea ugeni wa Waziri Mkuu wa Ethiopia sio mbaya sana leo tukipeana maarifa zaidi kuhusu nchi hii iliyopo pembezoni(horn) mwa Afrika kwani naona kama ina historia nzuri sana kuanzia enzi za kikoloni mpaka Leo.
Kwa uelewa wangu mdogo najua mji wake Mkuu Unaitwa Adis Ababa, imewahi kuwa na wafalme maarufu kama vile Menelik na Haile Selasie.
Ni kati ya nchi ambazo hazikutaliwa na Wakoloni pamoja na Liberia kama nlivyomsikia Rais wetu Leo katika hotuba yake ya Kumkaribisha Mgeni wake, na pia mwl wangu wa Historia aliniambia sababu kuwa Ethiopia ina asili ya milima yenye mawe makubwa hivyo walikua wakiwaporomoshea wazungu hayo mawe, Wakoloni wenyewe nasikia walikua Waitaliano.
Kwa kifupi ni hayo nawe unakaribishwa zaidi kutujuza kuhusu nchi ya Ethiopia.
Karibuni.
Kuna Mistari ya Biblia inasema nitawainua watu wa Kushi na Seba...Hawa wanatamaduni zinazofanana na Israeli Waziri mkuu wa Israel alivyofanya ziara yake Ethiopia alitoa pendekezo la kuwarudisha Israeli waethiopia wote wenye Asili ya Israeli. REFER KUSHI EMPIREMabaki mengi ya kitabu kitakatifu Biblia yalipatikana huko na michoro pia, Inaaminika Haile Selesssia alikuwa na birth line ya mfalme Selemani. Hawa watu ni entrepreneur wazuri na ni kitu cha kujifunza kutoka kwao! Ukifika Washington DC karibu 50% za paying parking lot owners ni Ethiopians, alafu wana own clubs nyingi kwa mfano Zanzibar Club ambayo nayo ipo DC, kwa kweli wanejipanga vizuri kwenye biashara! Ukienda kwenye Gentleman Clubs wanawake wao ndiyo wengi kwa sababu ya sura zao zilivyo nzuri!
Ninavyojua Eritrea na Ethiopia ni mtu na ndugu yake waligombana wakaamua kila mtu achukue 50 zake!
Imetawaliwa na madikiteita mwanzo mwisho!Tukiwa tumepokea ugeni wa Waziri Mkuu wa Ethiopia sio mbaya sana leo tukipeana maarifa zaidi kuhusu nchi hii iliyopo pembezoni(horn) mwa Afrika kwani naona kama ina historia nzuri sana kuanzia enzi za kikoloni mpaka Leo.
Kwa uelewa wangu mdogo najua mji wake Mkuu Unaitwa Adis Ababa, imewahi kuwa na wafalme maarufu kama vile Menelik na Haile Selasie.
Ni kati ya nchi ambazo hazikutaliwa na Wakoloni pamoja na Liberia kama nlivyomsikia Rais wetu Leo katika hotuba yake ya Kumkaribisha Mgeni wake, na pia mwl wangu wa Historia aliniambia sababu kuwa Ethiopia ina asili ya milima yenye mawe makubwa hivyo walikua wakiwaporomoshea wazungu hayo mawe, Wakoloni wenyewe nasikia walikua Waitaliano.
Kwa kifupi ni hayo nawe unakaribishwa zaidi kutujuza kuhusu nchi ya Ethiopia.
Karibuni.
Wamewahi kurushiana Mizinga na Eritea Kisa mipaka kama India na Paskitani tu walivyokua wakigombania jimbo la kashmirMabaki mengi ya kitabu kitakatifu Biblia yalipatikana huko na michoro pia, Inaaminika Haile Selesssia alikuwa na birth line ya mfalme Selemani. Hawa watu ni entrepreneur wazuri na ni kitu cha kujifunza kutoka kwao! Ukifika Washington DC karibu 50% za paying parking lot owners ni Ethiopians, alafu wana own clubs nyingi kwa mfano Zanzibar Club ambayo nayo ipo DC, kwa kweli wanejipanga vizuri kwenye biashara! Ukienda kwenye Gentleman Clubs wanawake wao ndiyo wengi kwa sababu ya sura zao zilivyo nzuri!
Ninavyojua Eritrea na Ethiopia ni mtu na ndugu yake waligombana wakaamua kila mtu achukue 50 zake!
tutakula kiswahili, nonsense masikini kukutana, sana sana kuongeza umasikini na udikiteitaAmeongea vitu vya msingi sana anza na utalii,Umeme,Viwanda vya bidhaa za Mifugo hasa Ngombe, amepromote Lugha yetu ya kiswahili so ameongea kiswahili tu
Nafikiri huku kwetu bila kuchanganya na udikteta kidogo maendeleo utayasikia kwenye Bomba kama wameweza kujenga Reli ya Kisasa kutoka Adis Ababa to Djibouti hongera zao sisi Kila siku tuko huru hata reli ya uhuru tumeshindwa kuiendeshaImetawaliwa na madikiteita mwanzo mwisho!
Pamoja na Egypt kupiga biti matumizi ya maji ya mto Nile ila hawa wenzetu wanayatumia vizuri Wanaumeme Wa kutosha nchini Mwao na kutugawia sisi na ukabaki tenaaNa kwao iwe jua iwe mvua huwezi sikia kelele za njaa tena. Hawategemei mvua kulima wana Irrigation sytem nzuri balaa kutokea Nile. Sisi tuna victoria.nyassa.tanganyika etc but mvua ikigoma kidogo.tu tanalia balaa
hujafikiwa ndio maana unautukuza udikiteita, au unanufaika na udikiteita ndio maana unasema hivyo. Ukikuta wazazi wako wamechinjwa vichwa ndio utajua maana ya udikiteita, unajisemea tu!Nafikiri huku kwetu bila kuchanganya na udikteta kidogo maendeleo utayasikia kwenye Bomba kama wameweza kujenga Reli ya Kisasa kutoka Adis Ababa to Djibouti hongera zao sisi Kila siku tuko huru hata reli ya uhuru tumeshindwa kuiendesha