nimezini na mke wa mtu

nimezini na mke wa mtu

daaaaaaaaah hapa nimetoka kuvushwa na mke wa mtu ni muda mrefu sana huyu demu anadai ananipenda na hata mm pia nampenda ni mzuri kweli sasa leo nimevunja amri ya sita ya mungu wangu na kesho naenda kanisani tena nimepagwa kusoma neno la mungu, roho inaniuma kweli kuvushwa na mke wa mtu je jamaa angenikuta ningekuwa na wakati gani na ananipata vizuri tu as a friend, ila demu yuko pw sana tena sana nimefaidi japo kwa woga na yeye amefurahia mapigo yangu kweli jamani mke wa mtu ni mtamu lkn usishike, roho inaniuma bc tu ngoja nilale Mungu huyu, naomba unisamehe tu
Mtu ambaye hajashikwa ugoni hawezi kuelewa jinsi mke wa mtu alivyo sumu. Tuulizeni!
 
Anza kutembea na ky maana utachanwa marinda siku si nyingi
 
Mkuu..m.mungu.anasema La takrabu ziinaaaaa..usiikaribie zinaa..ni uchafu mkubwa mmno..m.mungu anasema..na anachukia sanaa. Wewe umeufanya tena kwa mke wa mtu? Dah ..pole sana kijana hukmu yake unaijua? Upigwae bakora mia tena sio za mchezo...na huyo mwanamke ambae ana mume huku yake apigwe mawe mpaka afe..kwani akiachiwa ataendelea tu..ataeneza huo uchafu kwa watu wengine..mkuu umefanya kosa kubwa..haimeti wewe wa dini gani lakini dah...omba toba ya kweli na usirudie..na hapa dunia inasemekana ukizini na mke wa mtu basi jitayarishe na malipo..malipo ya kuziniwa na wewe mkeo ili uwone ubaya na maumivu aloyapata mwanamme mwenzako..shukran.
 
Mkuu inamaana umefanya uzinzi then unaenda kusimama madhabahuni kwa Bwana??? Lakini labda hiyo madhabahu ni ya wale ambao hata wakinywa whisky wao husimama na kuhudumu kama ni hiyo wala usihofu mkuu we endelea kutwanga dhambi maana utapata malipo yako yanayokustahili,Lakini kama hiyo madhabahu ni zile zinazomhubiri Mungu alie hai Mkuu nakuomba usisimame kwakwl ama la tubu kwa kumaanisha la sivyo unaweza ukapata adhabu kali sana maana utakuwa umepatia unajisi patakatifu pa Bwana
 
hadi bibi mzaa baba akikusikia utakula mboko,
we mbunye ipe haki yake usiidharau maana itapewa haki yake hata na house boy-
 
Mkuu..m.mungu.anasema La takrabu ziinaaaaa..usiikaribie zinaa..ni uchafu mkubwa mmno..m.mungu anasema..na anachukia sanaa. Wewe umeufanya tena kwa mke wa mtu? Dah ..pole sana kijana hukmu yake unaijua? Upigwae bakora mia tena sio za mchezo...na huyo mwanamke ambae ana mume huku yake apigwe mawe mpaka afe..kwani akiachiwa ataendelea tu..ataeneza huo uchafu kwa watu wengine..mkuu umefanya kosa kubwa..haimeti wewe wa dini gani lakini dah...omba toba ya kweli na usirudie..na hapa dunia inasemekana ukizini na mke wa mtu basi jitayarishe na malipo..malipo ya kuziniwa na wewe mkeo ili uwone ubaya na maumivu aloyapata mwanamme mwenzako..shukran.
Yan mkuu swala sio kwmba kazini na nani?? Mbele za Mungu huangalia dhambi..yeye aliezini na mke wa mtu na yule aliezini na mwanamke yoyote yule hata kama sio mke wa mtu tambua wote wamefanya kitu kimoja na hukumu yao ni moja kinachotakiwa ni yeye mtoa mada aache uzinzi mara moja maana kwa mujibu wa biblia inasema "aziniye na mwanamke hana akili,maana afanya jambo litakaloangamiza nafsi yake"
 
Kislaam hukmu zina tafaitiana kwa alie owa na asie owa.asie owa awe mwanamke au mwanamme basi hukmu yao ni bakora mia.tena wapigwe na mtu alie shiba..na walio kwenye ndoa..mwanamke au mwanamme akizini . hukmu yao wapigwe mawe mpaka wafe..sisi binsadam tunachukulia zina ni jambo dogo sana..kumbee ni mijizambi ile mikubwa ..ambayo m.mugu kaitaja ni .1 kuuwa binadam mwenzako kwa makusudi. 2 kufanya ushirikinai..3 kuzini.wakuu tukaeni mbali na mijizambi hii shukran.
 
Ila ukitubu ki kweli kweli m.mugu mwingi wa kusameh..na pia mkali wa kudhib ikiwa utaendelea..
 
Mkuu hebu mshirikishe yaliyokusibu
Mkuu acha kabisa! Usiombe ushikwe red-handed hivi na mke wa mtu! Hiyo fedheha yaani haielezeki! Kushikwa ugoni kusikie tu aisee. Hata kama alikuwa demu wako, kisha kuolewa mpe kisogo mara moja! Haki ya nani nakwambieni mimi!
 
we nenda kasali huku nyuma kuna waungwana pia wanakula mbunye ya mazaako km wamepagawa.hilo tobo tu si dhambi kulipa haki yake

Viroba at work, usiingize mambo ya parents kwenye upuuxi km huu ww umelelewaje?
 
Kislaam hukmu zina tafaitiana kwa alie owa na asie owa.asie owa awe mwanamke au mwanamme basi hukmu yao ni bakora mia.tena wapigwe na mtu alie shiba..na walio kwenye ndoa..mwanamke au mwanamme akizini . hukmu yao wapigwe mawe mpaka wafe..sisi binsadam tunachukulia zina ni jambo dogo sana..kumbee ni mijizambi ile mikubwa ..ambayo m.mugu kaitaja ni .1 kuuwa binadam mwenzako kwa makusudi. 2 kufanya ushirikinai..3 kuzini.wakuu tukaeni mbali na mijizambi hii shukran.

Zambi zina grades? Mmh kitab gan hicho
 
Umekuja kutek credt mkuu

ungetuambia mtako gegedana tuje kuwaona sa ajabu unaleta maneno,acha utoto.kama mlifanyia kitandani ilibidi yaishie kitandani
 
Mkuu wewe Gegeda Tu, Mke WA mtu mwenye kujielewa na kujua thamani ya familia yake hawezi kumvulia nguo mwanaume mwengine..

So wewe endelea kugegeda Tu Mkuu, siku ukibananishwa kwenye Angle na Mumewe Mwambie kataka mwenyewe. Akikomalia Kuchonga Tread kwenye Malinda mpe hamna namna, ILA akimaliza Tu immediately uje kuniambia tuone namna ya kukusaidia.

Kingine Muhimu Ni uwe unatembea na K-Y popote ulipo maana huwezi kujua Ni saa gani MCHONGA TREAD atakuzukia.
 
mkuu roho ingekuuma usingekuja kuweka uzi JF ungekaa kimya na kujuta...
 
Hivi kweli kuna mtu (si mtoto si mgonjwa) ambaye hajawahi kuzini na mke/mume wa mtu katika dunia ya leo?
 
Back
Top Bottom