Hawa Bodi ya Mikopo kama wanasoma huku tafadhali rekebisheni system yenu, inasumbua sana, na number ya simu mliyoweka haipatikani.
Aactually mmeweka number moja tuu ambayo ni +255 22 550 7910, hiyo number inapigwa na Tanzania nzima haipatikani kabisa, tukija ofisini kwenu, mlinzi anakwambia...