Recent content by slim sug

  1. slim sug

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    asante kwa majib mazuri, Je mtu anayetoa risiti kwa machine ya EFD yupo subject na ile asilimia 18% incase kwamba yye siyo vat registered? Kama jibu ni ndio nauza product ya faida 3000 yenye faida ya 300/= na nikitumia EFD 3000*18% ntatozwa 540/= je imekaaje kwa upande wa mlipa kodi?
  2. slim sug

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Mkuu Nyumbalao je nikiuza kwa mkopo itanihitaji nitoe risiti? Ikiwa jib ni ndio je ikitokea mteja akashindwa kulipa na akawa hana uwezo wakulipa (bad debts) je nitafanyaje? Hii kodi inayokatwa katika mashine ya EFD inauhusiano gani na inayotozwa katika faida ya makampuni?
  3. slim sug

    Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Mada nzuri ila umekuja kuweka mtego katika hapo SPY
  4. slim sug

    Reality: Mohammed Dewji, huna lolote la kutu 'inspire' sisi kama vijana

    Mtoto wa kiume akiwa na mambo kama ya mtoto wa kike ananiuzi sasa utajiri wa mtu wwe unakuuzi na nini kila mtu afanye yake yaliomleta duniani kama wwe umekuja kushangaa maghorofa ya watu endelea kushangaa...
  5. slim sug

    Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    mkuu unaposema zaidi lita milioni moja, kwanni ztumike lite nyng kiasi hcho
  6. slim sug

    Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    mkuu ungedadavua kidogo hapa
  7. slim sug

    Biashara ya samaki

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  8. slim sug

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    uliliaje mkuu
  9. slim sug

    Nahisi kutaka kutapeliwa

    mkuu umeshindwa kabisa kuitrace ile page imekaa kimamluki kabsa ukiangalia hata history yake ilivyo imekaa kitapeli yaani mwenye ile page kaja kuzinduka 2018 na lile tangazo 2017 ilikuwa haitumiwi kabsa
  10. slim sug

    Siyaelewi makato ya benki ya CRDB

    Vodacom wanakukata pesa, tofauti na mitandao mingine
  11. slim sug

    Siyaelewi makato ya benki ya CRDB

    Pole mpendwa kwa usumbufu uliopata, makato kwa mwenzi ni Tshs 1888 kwa akaunti inayoendeshwa kwa sarafu ya Tanzania mfano akaunti ya akiba, mwanafunzi. Makato kwa njia ya simbanking kuangalia salio ni shs 354 na kutoa pesa kuanzia 0 -- 200,000 ni shs 2594 inapanda kulingana na kiasi unachotoa...
  12. slim sug

    Ushauri kwa Uongozi kuelekea uchumi wa viwanda

    Supply creates its own demand "John Baptist "
Back
Top Bottom