Ruge is more than exploiter...nchi kama china watu kama hawa wana uwawa!
He was the source ya kuiua East Coast,Kuwapoteza Gangwe Mob!...wenginw wanauliza idea inaibiwaje(poor minds) hamjawahi kuwa hata na mawazo ndio maana mnashindwa kuelewa inaibiwaje...Fiest wasanii wanaambiwa imba tutakupa...
Kwani mishahara ikoje kina mchomvu wanalipwaje?tuanzie hapo...nakipanya aliondokaje hapo vile?
Tukumbushane tu. Na wale wasanii wa fiesta hivi huwa mikataba yao na bank receipt deposit huwa ni bei gani vile?
Na Ladjaydee sugu naye vipi? Vipi zile mixtape za DJ Choka bado zinagongwa kituoni...
Unajua chuo kimoja tu cha sheria?IJA mwisho diploma,nikusaidie..nakuongezea vyuo vingine,uongeze machaguo baada ya kuwa umeotoka kwa bwana Milindo,kuna Mzumbe,Kuna UD,kuna Sauti etc..ongeza machaguo,napunguza kukalili..Lord Lofa
Rai kama wewe unastahili kunyongwa kwenye nchi ya watu walioamua kutafuta maendeleo kwa gharama yoyote..nashangaa kwa nin bado unaishi,kunywa ata sumu utusaidia,weka ata kwenye huo urojo ukitoa hizo porojo zako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.