masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 789
Hatafuti kıki yeyote kwanı ameshastaafu.Ameshka tu nafasi hiyo kwa muda.VC anaenda kutoka Engineering tena.
Hivi jamaa wa Engineering (COET) na CONAS mnajionaga nyie ndo vichwa sana wa kuongoza hii taasisi siyo??? Kuna wengine pia wanaweza sana tu. Ndo sababu mmefanya kumbeba beba Mfinanga na vyeo vya fasta fasta (hapa sitaki ulete sababu za search commitee ambazo mara nyingi maoni ya wengi hupuuzwa katika teuzi ambazo wakubwa huwa wameshaamua nani awe) ili awe sehemu fulani. Akipewa Chuo Mfinanga wachuya utalika hapo UDSM.