Recent content by SladeW

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Mi Nadhani Kumkaripia Au Kunyang'a Hizo CDs Sio Dawa!! Issue Hapo ni Kutafuta Ni Nani Anamletea Hizo CDs!! Tena Ongea Nae Kwa Utaratibu Tu Ni Nani anamletea Hizo CDs Akikataa Kukuambia Mtishie Kuwa Utamrudisha Kijijini kwao Au Utamwambia babaake!! Ukisha fahamu Hilo Ni Rahisi Kabisa...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume afanye hivi ili mkewe amuone mtenda miujiza kila siku, hatasikia la mtu!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36] Nifah Jinga sana
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Ahsante Bruh!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Noted Bruh!! Nshaishusha Hapa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Google Sheet Inafanana Na Excel!!?? @Etho
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Daaaaaaaahhhhhh Aiseee Huu Uelewa wako Sina Hata Cha kukufananisha nacho. Kwanza Unaelewa maana Ya Mifuko ya jamii!!??? Unafaham Kodi Ni nini!!?? Sasa Kodi utarudishiwa Ukisha Staafu!!??
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua lengo la huyu binti wakuu.

    Tena Ni Chai Jaba
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua lengo la huyu binti wakuu.

    Nimecheka Kinoma Hii Comment
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta, huyu binti anataka kunifunga

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nyie Kuna Watu wanamoyo. Wew demu wa FB unamla Kavu kavu!!?? Seriously!!???daaaaaaaaaaahhhhh
  10. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

    .....Mbona Hao Walioenda Kutoa vitu Hawakukuonesha Hizo Docs za Madeni Ya Mbowe!!?? Acha Kuwa Mjinga wew
  11. S

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "I refused to lose in The Game I chose to Play" Rick Ross
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

    .....Usizingue Hapa Humu Unapoteza muda Fanya mikopo kwa Watu Tofautitofauti kwa Kiasi Kidogo Kidogo Kuanzia elfu 50 gadi laki 3 Utasolve....Unalialia Kibwegebwege Humu Nani Akusikie Sasa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakumbuka Nilikuwa nikirudi Likizo Demu Akiniambia tuwe tunawasiliana Bhas hata Kwa Barua Namwambia anza Wew!! Akituma Nachukua Colget Naweka Mambo Kitu Kipya Narudisha majibu hahaahahahhaa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Shilole na mtoto mdogo mdogo

    Nshawai kuwa Kwenye Mahusiano na Dada ambaye kanipita Miaka 3 Daaaaaaahhh alikuwa ananikubali Though Sometimes Nilikiwa namzibua, Na Alikuwa ananiheshimu Vibaya Mno. Kutoa Hela Hadi Nijickie sometimes alikuwa Ananipa yeye. Nilipokuja kufaham amenizidi Umri hivo Nkamkataa, Nkaenda Kwa Wenzangu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Magic FM: Rais asifikirie Wananchi watafuata sheria wakati yeye mwenyewe anazivunja sheria

    ......Ingekuwa Elimu Kubwa Ndo Utendaji Mzuri wa Shughuli za Siasa Au za kijamii Bhas Ma Profs. Wasingeishia Kufundisha Chuo, Hizo Elimu ni Kukariri Tu. Ndo Maana Mtu Kam Markzugerberg Alidrop Shule kwakuwa Kwa Elimu Aliyokuwa nayo Aliweza Kuvumbua Vitu Vingi Vikubwa
Back
Top Bottom