Recent content by SlaaSlaala

  1. S

    JamiiForums Tanzania SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

    Ukidai uwaziri mkuu, na ushaambiwa usidai hilo utapigwa tuu, mi nasema muwapige tu mana hakuna namna nyengine, tumechoka sasa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Judge Mstaafu Augustino Ramadhan apewa Daraja la Uchungaji Anglican

    Baba yake ni muislam, alikua muumin wa dhati bwana ramadhan na babu yake ni hivyo hivyo na mababu zake wanofuatia huko. Madam kashatawazwa ata uaskofu apewe.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais hongera kwa hotuba yako nzuri ktk hafla ya kupokea ripoti na rasimu ya katiba

    Na ukimkataa wewe pia wamemkataa watanzania wote?? Wakati mwengine tuache siasa Raisi Kikwete hotuba yake ni njema kwa taifa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mansour: Tusimame Pamoja Kuitetea Zanzibar

    Ndugu, hii ni sehemu ya habari mbali mbali, ukiona habari haikufurahishi achana nayo. Hongereni wazanzibari kwa kudai mamlaka yenu na sisi tunaidai Tanganyika yetu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dr Shein: Zanzibar ni ya waafrika na sio waarabu...

    Hongera Dr. Shein kwa ujasiri mkubwa. Rais wa Zanzibar
  6. S

    JamiiForums Tanzania Shamsi Vuai Nahodha: Sitavunjika Moyo kwa Yaliyonikuta

    Shamsu hana mpya...kesha yakheee wazanzibari wenzako hawataki Muungano! Usiwasemee Sisi ni tofauti na Sudan na somalia! Hizi Nchi zilikua mbili tokea awali kurud hilo sio geni. Kubaki salama hatubaki tukiwa na viongozi kama wewe umeua watu Pemba wazanzibari wenzako halafu umekuja kutuua na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

    Kwa vile bado kuna maswali mengi hayana majibu, historia zote hapa zitakua paukwa pakawa hazina majibu ya ukweli hasa!! Kawaida ya watawala duniani wanapoingia kwenye utawala hasa kwa njia hizi za mapinduzi na nguvu, huibadili historia ya kweli ili iwe inawasifia wao na kuwakrbehi waliokuwepo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya Arusha Mkutano wa Chadema, Hivi Mbowe alidanganya umma au Ulikuwa Mtaji wa kisiasa?

    Mbowe hana video ni muongo!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hujuma Dhidi ya Zitto Kabwe hii hapa,Mungu anazidi kuwaumbua wanafiki

    Imekaa sawa Zitto yuko Juu, Juu kabisa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Now ifike kipindi tuachane na suala la ZZK

    Ukiongea kiswahili kitupu kuna kosa gani?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    Kabwe hana kosa, Chadema wasipoangalia chama kitakatika vipande. Tusubiri tuone.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    ZZK The great
  13. S

    JamiiForums Tanzania Shamsi Vuai aingia Zanzibar Kimya Kimya

    Shamsu vuai hiyo ndo ccm
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

    ZZK ni kiongozi bora mwenye hekima na busara. Hongera sana kaka Zito.. Wewe kweli ni mzito sana.
Back
Top Bottom