Recent content by skyline tech

  1. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Mwenye soft copy ya riwaya ya mkimbizi

    Ninazo nyingi zilizopo hapo
  2. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waandishi wanaofanana kwenye utunzi wa hadithi zao

    Kivipi mkuu
  3. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waandishi wanaofanana kwenye utunzi wa hadithi zao

    Haswaaa sikupingiii
  4. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waandishi wanaofanana kwenye utunzi wa hadithi zao

    Katika kusoma soma riwaya za kisasa zaidi za karne hii nimetambua kuna waandishi wazuri na wenye hadithi tamu wanafanana namna ya kuandika simulizi zao, maudhui yote kwa ujumla. Kuna George Iron Mosenya jamaa ni fundi sana huyu ila uandishi wake unashabihiana na wa ABASY MZIGUA na ELIAS...
  5. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya kipelelezi: Maiti 15 tu nitafurahi tena

    Hiyooo ingine tenaaa
  6. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

    Hii kitu mbn kama umeruka chapter moja
  7. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Sasha Mlinzi wa Nafsi - 1

    [emoji91][emoji91][emoji91]
  8. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kisanga

    Aiseeeeeeeee hiki ni kisangaa kweli
  9. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

    Wakuu wekeni link za story ili tutelezeee tu
  10. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Computer Maintenance

    Tupo pamoja ndugu
  11. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Computer Maintenance

    Kutakuwa na driver zimemiss kwenye hiyo harddisc mpya kwahyo cha kukushauri ni *unapoweka HDD mpya kweny computer ni vizuri ukaipiga window au *ufanye driver pack installation au *fanya update ya computer Hii inasaidia kufanya operation system (OS) ya computer kufanya kazi ipasavyo pia...
  12. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kisanga

    Weka manenooooo
  13. skyline tech

    JamiiForums Tanzania COMPUTER MAINTENANCE

    TAHADHARI: [emoji599][emoji599][emoji3544][emoji3544][emoji3544][emoji117]Je unajua unatakiwa Kuzingatia Mambo Muhimu haya Wakati wa Kununua Betri kwa Ajili ya Laptop yako? 1. Aina/ Model ya Betri husika, Hakikisha Model ya Laptop yako inaendana na Betri unayotaka kununua, mara nyingi Model...
  14. skyline tech

    JamiiForums Tanzania Computer Maintenance

    TAHADHARI [emoji599]: Kuna mambo mchache ya kutambua hasa pale unapoona HDD Ya Laptop au Desktop yako imeonyesha Dalili hizi; 1. Kuzunguka/ ku-load kwa muda mrefu sana bila kumaliza. 2. Laptop / Desktop kuwa nzito saana. 3. Ukisoma Hdd life inakuambia 0% na kuonyesha hali ya hatari kuwa...
Back
Top Bottom