Recent content by skinless

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kipimo cha Colonoscopy

    Mhhh sio kweli, ukimaliza process tumbo tu linasumbuasumbua kidogo kama masaa mawili hivi basi unakua sawa, wanasema sijui Ile gesi wanayotumia, kama umeumwa tumbo mda mrefu, mambo ya gerd,acid,ulcers,bawasiri nk better uende ukacheck... Vitu vya kawaida mbona....
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kipimo cha Colonoscopy

    Aghakhan wako poa.. Mi nilifanyia hapo.. Dokta pia alisema inafaa mtu akizidi 40+ afanye
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF

    Kuna mwenye link ya mechi, tusaidiane
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama unaikumbuka Mitandao hii ya Bongo ya Miaka ya 2000s wewe ni legend mwenzangu

    Vipi Hi5, mi nilipata marafiki kadhaq ambao hadi Sasa Bado ni marafiki
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Mi nakumbuka mwaka juzi nilienda hotel Moja tukala tukamaliza, Sasa nikawa nataka aniitie alietusev, nikamuita anko samahani nakuomba, mama wee kuja ni dada niliishiwa pozi ila nadhani alielewa akawa anatabasamu tu nikapotezea kuomba msamaha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Insights nzuri, kuongezea tu hapa, mashirika mengi ya kimataifa ofc zao za Africa ziko Kenya, NGOs kubwa kubwa pia na mashirika mengine ya kibiashara Wana makao pale...halafu pia Kenya business entry yao ni rahisi zaidi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Moroko na kingereza😂🤣

    Nimeona hiyo interview, Mi naona anajitahidi jamani, sie watz tunakasumba ya kuchekana sana sijui kwann, yaani sehemu zote kingereza kikitumika mtu anatizama ni wapi mtu kakosea, English Si lugha mama yetu...halafu shida huwa hatupractice unajikuta unamiss some words, ushauri wangu ni hivi ukiwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa kiseke ppf mwanza

    Nyumba inapangishwa kiseke ppf mwanza, vyumba vitatu kimoja kikiwa ni master, maji, umeme, barabara vipo, eneo la bustani lipo nk. Bei 2,600,000/- kwa mwaka Karibu mteja .
  9. S

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya mafuta ya mawese kigoma-urgent

    Natafuta sana contacts za viwanda vya mafuta ya mawese, kama nikipata vile viwanda vikubwa vyenye uwezo mkubwa itakuwa vizuri zaidi, hasa nataka wanaotengeneza refined yellow palm oil. Asante
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    Hapo weka jogoo watatu au wawili, watano ni wengi sana kwa hao majike
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na mpunga na migomba, ni mazao gani huweza kulimwa kwenye ardhi yenye asili ya maji mengi muda wote?

    Miaka kumi na Tano iliyopita nilinunua shamba bila kujua historia yake, nilitaka kupanda embe, basi bwana kumbe shamba ni waterlodged balaa, nilijaribu mambo mengi nilishindwa, nimeliuza mwaka jana kwa wachina, basi wachina kuja hahahah acha kabisa jamaa wamekuja na mashine mbalimbali, Yani hizi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nikupeana fursa tunazoona zinatufaa na zitatupeleka jwenye njia ya mafanikio

    Imeshakuwa registered nchini?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

    Brand ya ecoa?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

    Induction cooker, plate Moja na sufuria zake bei zake zikoje
Back
Top Bottom