Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,755
- 118,735
Kwa hiyo siku ulipoenda hospitali kwa ajili ya hicho kipimo, jamaa wakapitisha ule mrija.... shwaa! Na hapo siyo chini ya wiki mzima ulikuwa unashindia vyakula vya majimaji tu na kuendesha kwa sana.Aghakhan wako poa..
Mi nilifanyia hapo..
Dokta pia alisema inafaa mtu akizidi 40+ afanye