Kutokujua ni kubaya tatizo la siasa uchwara ndio linawafikisha hapa wengi wenu..Angepewa Slaa au Mbowe nadhan msingeongea pumba humu ndan GUYS badilikeni kuna kajamaa kanajifanya kujiamini sana kwamba oooh ingekuwa ya professor wake angedrop shahada aaah...msitufanye wote humu ni CHDM wengine...
kama serikali haina dini maana yake ni kufuta mitihan ya dini? nadhan hapo imepotoka kwa kias kikubwa japo bado sina hakika na hiko chanzo cha habar na habar yenyewe
Angalien na muache kuleta UCHDM na userikal ndugu zangu ushabiki huu utatufikisha pabaya kama imefikia hatua tunatetea ujinga eti sababu umefanywa na CHDM....walichofanya ni mwendelezo wa propaganda chafu dhid ya serikal na wanapaswa kuchukuliwa hatua kwan walishapewa onyo kama wenzao HALISI...
wewe ni mpuuzi na upuuzi wako wewe ni UCHADEMA wako ndo unakusumbua kaa kimya ww acha kelele kama vp anzisha redio yako itakayokuwa na ethics nani kakulazimisha kusikiliza CLOUDS kwan hakuna redio zingine ninyi ndo mnaopotosha umma huo ni mtazamo wao nawe una mtazamo wakooo
Nami napata wasiwasi na hii JF coz mwendelezo wake umekuwa ni uleule wa anti-facts na anayezungumza ukweli hushambuliwa na watu wenye mrengo wa kushoto nadhan ni mbinu zenu tumeshawajuaaa....
----- ww hata ukiambiwa utembee uchi utatembea kwa kuwa umeambiwa na mwizi na tapeli SLAA mnaejifanya kumwamini kumbe ana yake endeleen hivyohivyo na akili zenu za dagaa
Uhuru mlopewa watanzania mnautumia vibaya na iko siku mtaukumbuka tu hiv ukiulizwa utoe fact za tuhuma unazotoa kwa Rais wako na nchi kwa ujumla unazo? hizo ndio siasa za majitaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.