Recent content by skendo

  1. skendo

    Ni muda tu ila ukiangalia sana utagundua wanaelelekea

    Ilianza hakuna Katiba Mpya Mara ikaja ya Warioba ikaishia njiani Mara ikaja wacha tujenge nchi kwanza. Naona kabisa tunaelekea maana itafika hatua tutakosa cha kusema zaidi ya kuandika iyo Katiba Mpya. Lakini tatizo ni katiba au usimamizi wa katiba ulipo? Mfano inapo tokea mtu kavunja Katiba...
  2. skendo

    GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru inusuru CCM Songea Mjini, msije sema hamkuambiwa

    Yap ila kwa baadhi ya maeneo lakini kwa mjini kuna kata mbili muhimu ambazo hawajafanyia mabadiriko lizabon na Ruhuwiko izi ndio chimbuko la mgogoro cz hao jamaa ndio kundi moja na izo zilizo fanyiwa kazi juzi jamaa wanagawa chama sana kwa wana nchi hawana mvuto sasa wamebaki kutumia pesa...
  3. skendo

    GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru inusuru CCM Songea Mjini, msije sema hamkuambiwa

    Kumbuka kata ya Lizabon waliwai dharau na ikaenda Cdm na this time inaenda tena cdm maana Ruhuwiko na Lizabon chaguo la wananchi limetolewa na ili kuondoa utata Bashiru achunguze ukweli ili ajue ni fitina au ukweli
  4. skendo

    GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru inusuru CCM Songea Mjini, msije sema hamkuambiwa

    Inaweza kua kweli Ndumbaru ila uwez kua na diwani ambaye katumia nafasi yake kuanzisha kikundi cha walemavu hewa na pesa kala yeye na mkewe na kakili makosa kamati inamtoa Bashiru anamrudisha alafu unataka wananchi wampokee na anasema kabisa mkoa hauniwezi mi na deal na Taifa......
  5. skendo

    GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru inusuru CCM Songea Mjini, msije sema hamkuambiwa

    Haaaaa! Mzee hii issue ipo hot haijawai tokea mabalozi kugoma kupiga kampeni kwa huu mkoa ila sasa kwa mara ya kwanza mda ndio mwamuzi wacha tuone
  6. skendo

    GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru inusuru CCM Songea Mjini, msije sema hamkuambiwa

    Shaibu kapigwa chini ila issue ni kuwa jamaa walipigwa chini na vikao vyote kuanzia Wilaya mpaka kamati ya Mkoa na kumbuka upande wa madiwani katiba ya chama inatoa mamlaka yote kwa viongozi wa Mkoa sasa viongozi wa Mkoa wameshafanya maamuzi jamaa wakapiga simu kwa Bashiru kwa mujibu wa maelezo...
  7. skendo

    GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru inusuru CCM Songea Mjini, msije sema hamkuambiwa

    Bashiru kama Katibu Mkuu wa CCM inapaswa hutumie vyombo vyako vyote vya usalama wa chama ili upewe taarifa sahihi ya mkoa wa Ruvuma. Ishu ni kuwa kuna kata zaidi ya nne kamati ya Mkoa ilikwisha kuamua na mchakato wa kuwapa Madiwani watarajiwa barua za uteuzi ulikwisha fanyika mara ghafla...
  8. skendo

    Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

    Karibu mzee kwa hapo lazma uzichange soko lipo wazi kubwa uaminifu kwenye kazi zako......karibu sna
  9. skendo

    Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

    Pazuri kulingana na taratibu zako za biashara uaminifu na ubunifu wako kwa maana ya kuweza kuwa na bidhaa zinazo hitajika kwa wakati....pia kuweza jibrand biashara ni watu so ni namna utakavyo jiweka.......kwaribu PM kwa maswali mengine
  10. skendo

    Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

    Karibu mkuu mi nipo hapa uliza lolote kuhusu Ruvuma
  11. skendo

    Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

    Ninatunia gx110 ilikua na rim size17 ila nataka kuweka rim size 18 je hii italeta tatizo manaa lengo ni kuifanya gari kuwa juu kidgo
  12. skendo

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    [emoji23] [emoji23] mlianza na madawa issue ime pelekea kiongozi kukimbilia south sasa sina hakika likianza ilo nitapelekea nani mwengine kukimbia,maana mna beep mkipigiwa simu mbatupa na kukimbia badala ya kupikea
Back
Top Bottom