Recent content by skate-board

  1. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Fuckin trapped
  2. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba na (Ahmed Ally) waache propaganda waandae timu

    Uongozii uongoziii uongoziii ni chanzo cha mambo yote
  3. skate-board

    JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Jana "bebi" wangu amekasirika kwanini sijamposti huko status na caption za women's day !!
  4. skate-board

    JamiiForums Tanzania Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

    Kuna mtu aliwahi pigwa "kofi" na simba kuanzia kwenye kwapa hadi matakoni ikabakia mifupa tu
  5. skate-board

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Apo ungekua wafupi kama wao sijui nani angekua anaandika hapa saivi
  6. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

    UNACHAPIWA TENA KINOMANOMA
  7. skate-board

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona baadhi ya hospitali binafsi ambazo ni PENDWA zinagomea kutoa huduma

    Fedha za wanachama ziko wapi?
  8. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni nani ana tabia kama zangu?

    Aisee umeniongelea mimi au?
  9. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

    Wanakusaidia hapo mkuu, naona bado unampenda acha kumfatilia utamia
  10. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

    Ndo maana yanamtoka maneno
  11. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

    Leo umepewa popo kanyea mbingu bila shaka
  12. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    I swear hukupenda ila ulikaribia kupenda! "hapa mwanume anaongea ukweli halisi"
  13. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Kama hii ni story ya kweli mzee I feel you, mapenzi ni kitu cha ajabu sana tena sana na nikuhakikishie hutakaa upende kama ulivyompenda Mercy wako EVER!
  14. skate-board

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Mapenzi ni ujinga,mapenzi ni upuuzi,mapenzi ni upumbavu, Ila Mapenzi ni faraja,mapenzi ni amani,mapenzi ni kuwa na furaha Yanii mapenzi ni indescribable Mwamba umepitia yote big up sana imekukomaza na hutafanya maamuzi ya kijinga tena "kama wale wa redioni"kwako maana wanaopitia upande...
Back
Top Bottom