Halafu mademu wa hivo yaani akifika tu anakutambulisha utaskia "..huyu ni dada yangu" hapo shituka mapema kabla jogoo hajawika
Sent using Jamii Forums mobile app
umenikumbusha mbali, kuna sehemu nilipanga basi mama mwenye nyumba akanipa kazi ya kukusanya hela ya umeme, basi kila aliekuwa anazingua kutoa hela ya umeme nilikuwa nakata tu hata kama ni chumba cha mwenye nyumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.