News Alert: Padre anamtongoza wife

Ukiamini Mungu unamuamini Padre kama mtu wa Mungu hawezi kukufanyia mabaya.

Unajiachia. Anakufunga goli. Unashangaa inawezekanaje Padre mtu wa Mungu kakufanyia hivyo.

Mwanamke anafunguliwa mpaka zipu katika maombi. Padre anaombea mbunye, anaishikashika. Mwanamke analegea. Padre anapitisha kitu.

Usipoamini habari za Mungu hata muda wa kwenda kumsikiliza Padre huna na hivyo hapati hata pa kukuanzia.
Hii habari ni ya kusimuliwa,
Pia ukimsoma vizuri utaona anachanganya mambo,
Hajui kutofautisha kati ya padri na mchungaji wa makanisa ya kileo,

Jinsi ulivyoeeza kuamini hii chai,
Ndivyo hivyo hivyo ulivyoweza kuamini kuwa mungu hayupo,
Tatizo unapenda kusikia kile kinachokufurahisha, tatizo linaanzia hapo, unakuwa excited emotionally,
Na kuacha kufikiri kisawa sawa.

Ulitakiwa ufikirie one step backward kwa aliyeleta maada anadhumuni gani
 
Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .

Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.

Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.

Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.
jifunze kuandika bwana!!!!
 
Ujinga wanaume we Kama umemwona unataka akubali ili...mwache tu atajua mwenyewe
 
Kwenye stori yako unajichanganya... umenifananisha PADRI WA KIKATOLIKI NA MCHUNGAJI WAMAKANISA YA KILOKOLE...
uliyemaanisha ni mchungaji (kiongozi wa kanisa wa kilokole na siyo padre mkuu)
Yote kwa yote pole sana ndugu hayo ndo madhara ya haya makanisa yetu yanayochipuka kama uyoga ndugu kuweni macho...
Yeye na mke wake watubu warudi catholic na si tutampokea
Mkuu namjua hata jina ni katoliki mkuu
 
Tukisema kuhusu hao kina gwajima, msigwa, lusekelo etc mnatuona mafala, acheni wake zenu waliwe tu, mazuzu kabisa..
 
Na demu akishaliwa na padre ndo basi tena,kama hajaolewa basi hataolewa na kama kaolewa basi huyo atakua ni chama la wana
 
Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .

Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.

Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.

Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.
Mkuu jiongeze tu ww ni wakiume...piga chini chukua ingine ubonyeze raha za dunia kufa kwaja..kama una kabeki tatu hapo home kapandishe cheo japo kanyota kamoja kwanza.tega ugo niweke chuma,tega kigingi niweke jiwe...kamulia na limao humo humo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom