Recent content by Siza Agropro

  1. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    KIWANDA CHANGU NANUNUA UMEME WA KATI YA TSH 200,000 HADI 300,000 KWA SIKU,JUMAINNE RADI IMEPIGA NA KUHARIBU MITA,CHA AJABU MAFUNDI WA TANESCO ILI KUNIWAHISHIA KUREKEBISHA HILO TATIZO KWA WAKATI WANANITAKA MPAKA NIWAPE POSHO,NA BAADA YA KUWALALAMIKIA NA KUWAAMBIA TATIZO LA KUTENHENEZA NA...
  2. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Wanauchumi wote piteni hapa

    KWANI KUNA MPANGO WA KU PRINT NOTI MPYA?
  3. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua utaratibu wa sasa wa kuuza unga wa mahindi nje ya nchi

    Nimepata wateja wa kununua unga wa mahindi nje ya Nchi,naomba kwa wale wanaofanya biashara hiyo,wanijuze utaratibu,hasa vibali ninavyotakiwa kuwa navyo,upatikanaji wake,wapi vinapatikana, wakati wa kusafirisha mzigo wa unga wa mahindi. Pia ningependa kuchua kama kuna ushuru nitatakiwa kulipa...
  4. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa thamani ya Shilingi: Serikali ya Rais Magufuli inatupeleka wapi?

    Hii huwa ya ukweli
  5. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

    Mimi nimechungulia huku sioni huko kuporomoka kwa shilingi ya Tanzania
  6. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Mashamba Kiwangwa (Bagamoyo)

    Utakuwa unafanya window shopping wewe,if ur serious ,tuwasiliane,nitakuuzia ekari kama hamsini ambazo zinafaa kwa kilimo cha nanasi,ufuta,mahindi,muhongo na kunde.
  7. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Southern highlands,tufanyie Iringa au Mbeya
  8. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Management Ni Usimamizi,,,Forest ni Misitu[emoji42]
  9. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yamwezesha Kupata Ng'ombe Bora wa Maziwa

    Wanapatikana kwa bei gani mkuu,hasa mtamba mwenye mimba miezi mitatu?
  10. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Title umeandika miezi sita na kwenye mada miaka sita,edit Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Ni vema ungefanya selection mwenyewe au kutuwekea vigezo kabisa kwenye uzi huu ili kwa sisi tulioko mkoani tujue mapema kama tunavyo vigezo kabla ya kuanza safari Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Safi sana,hongera kwa kukamirisha mchakato wa kuanza kutoa hayo mafunzo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Moisture meter ya kisiasa inauzwa

    Unauza bei gani? Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
  14. Siza Agropro

    JamiiForums Tanzania Kuna wazungu, Waarabu, na wahindi ambao ni Watanzania

    Alizaliwa Iringa,baadae wakahamia kenya,hata kampuni yake ya kwanza aliyofungua Kenya aliiita Ruaha construction co ltd
Back
Top Bottom