Naombeni kujua utaratibu wa sasa wa kuuza unga wa mahindi nje ya nchi

Siza Agropro

Senior Member
Oct 2, 2016
114
148
Nimepata wateja wa kununua unga wa mahindi nje ya Nchi,naomba kwa wale wanaofanya biashara hiyo,wanijuze utaratibu,hasa vibali ninavyotakiwa kuwa navyo,upatikanaji wake,wapi vinapatikana, wakati wa kusafirisha mzigo wa unga wa mahindi. Pia ningependa kuchua kama kuna ushuru nitatakiwa kulipa ninapofika mpakani.
 
Back
Top Bottom